masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kipindi kile ule wimbo watu walizani ni rahisi sana kuwa na mpenzi ukiwa fukara sana...Hivi inawezekana eeeh
tia mistari kidogo
.......na alitoa elfu 10 na alikua anataka dafu
oooh no keep chenji una mawazo nitakufariji weekend
INAWEZEKANA KWELI???
Nilipokea hela alichotaka, akakipokea tabasamu zito akanitolea....
Kumbe masai mjini umekuja mdaa eeh
... oh naitwa Jay ukiniita fukara haukosei na nnaishi kwa nguvu za macho si zenyewe hazisogei...
Jay ni zawadi kwa watanganyika
Kumbe kuna gari ilikuja na kupak karibu yangu,
Sikuweza kusikia hon labda sababu ya njaa yangu
..nawanza nitakula nini mentali kisha naguna
naanza kujikongoja kichwa chini mikono nyuma
Jay is all that and a bag of chips, but Gangwe Mobb beat him to it with "Mtoto Wa Geti Kali".
It sounded like Jay just jacked the idea and put out his own version.
Inawezekana sanaa! Ila sio by chance ni through hardwork! Inabidi uwe player haswaaa! Ukiplay by the rules mbona unazifumania sanaaa nyavu!
Walisem Jay maisha ya.Vicky yapo mikonon mwako tumefurah mmependan, kumlea ni jukumu
we kinyago kubali yaisheDada vipi...!! Mbona mkali......!!
ilipangwa mikakati kabambe ya kufunga ndoa
watu hawakuamini kama vicky mimi nitamuoa
Nilipokea hela alichotaka, akakipokea tabasamu zito akanitolea....
Kumbe masai mjini umekuja mdaa eeh