Wimbo wa Zali la mentali wa Proffesor Jay uliwapa vijana matumaini sana

uwenda
....promota anabip naamua kumpigia bila aibu anajisifu...

NIAMBIE MAPROMOTA WALIMUARIBIA VIP

walisepa kwenye show bila malipo na wengine walitumia jina lake katika promo zao bila yeye kuwepo kwenye show
 
una roho nzuri
mi nimemwambia alipe kwanza ada
 
walisepa kwenye show bila malipo na wengine walitumia jina lake katika promo zao bila yeye kuwepo kwenye show

jay ana nafasi nzuri sana ya kupiga ela still
angetengeneza documentary moja akaweka hit zake zote akapiga show za kutosha alafu akaendeleza hustle..
 
jay ana nafasi nzuri sana ya kupiga ela still
angetengeneza documentary moja akaweka hit zake zote akapiga show za kutosha alafu akaendeleza hustle..

yaap apate na management yani hapa hapa bongo atauza sana.. nyimbo zake hazichuji mfano zali la mentali ina karibu miaka 13 kwenye game na bado production yake ipo poa.. pongezi kwa majani
 
Yaani siku hizi hata nikilala naweza kutunga nyimbo ikawa heat song

bahati mbaya mziki umepishana na pesa

r.i.p muziki wetu
 
tanx bro i get it
 
jay ana nafasi nzuri sana ya kupiga ela still
angetengeneza documentary moja akaweka hit zake zote akapiga show za kutosha alafu akaendeleza hustle..

Afanye hivyo ili maana ni wengi tnahitaji nimbo zake.
 
Yaani siku hizi hata nikilala naweza kutunga nyimbo ikawa heat song

bahati mbaya mziki umepishana na pesa

r.i.p muziki wetu

kina jay ni hazina na jide ndo iliyobaki

sasa hivi yaani watu wanakata tu mauno

ETIII rahaa ya buzi ulipate na ulochune.,,na nuhu mziwanda wake(juzi kapigwa na shishi) eti kaimba msondo ngoma...wat the hell
..sauti mbovu mashairi mabovu hayana ladha wala maadili
 
yaap apate na management yani hapa hapa bongo atauza sana.. nyimbo zake hazichuji mfano zali la mentali ina karibu miaka 13 kwenye game na bado production yake ipo poa.. pongezi kwa majani

sana mkuuu mi nalala aisee
kesho nikazisake
 
Good masai dada leo umeleta topic ambayo imegusa music wa ukweli, hope Jay anapitaga hapa atasoma na kututendea haki mashabiki wake.

usiku mwema kesho
hapa nina bati tu sijui kesho nitapata chai na chapati???????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…