Wimbo wa Zuchu utakuwa wimbo bora sana wa kampeni kipindi hiki

Wimbo wa Zuchu utakuwa wimbo bora sana wa kampeni kipindi hiki

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Miongoni mwa nyimbo za kampeni zitakazovuka mpaka ni wimbo wa Zuchu wenye kiitikio.." Jua lile literemke Mama"..wapinzani watetereke sana".Una mahadhi nzuri ya reggae, mahadhi inayochezeka na watu wote na rika zote. Hata kama hutaki kucheza unaweza kutingisha bega tu.

Geita hapa muda huu ni jua lile literemke Mama, Mchakamchaka hadi raha.
 
Baada ya uchaguzi utasikia mtu anasema kuwa ccm imemdhurumu sijui laki ngapi
 
Takwimu hazidanganyi
Screenshot_20200903-142014.png
 
Hii nyimbo ya Alikiba Number One ina vinanda sio vya nchi hii full sweat melody
 
Duniani kote vyama vinatumia wanamuziki kuhamasisha sera zao nyie Chadema kila mwanamuziki anawakimbia
Wananchi hawahitaji nyimbo wanahitaji sera nzuri
 
Acha watu waimbe ila Zuchu kaamsha sana
....We Mama njoooooh uone Nchi ilivyobadilika..
Tanzania ya leo Mama...ai Mama.
Ya Magufuli Mama....
Raha sana hii kitu.
 
Back
Top Bottom