Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Chadema wana madini na hoja tu nyimbo waachie ccm.Hivi Chadema wana wimbo kweli?[emoji3]
Upo unaitwa bwana wetu amsterdamHivi Chadema wana wimbo kweli?[emoji3]
Kuna kiitikio wapinzani wamekaa...aaah...ameimba vizuri sana.Zuchu nilijua ni sabuni ya kufulia kumbe ni Jina la mtu
hivi CCM bila wasanii mngepata hata watu 100 kwenye mikutano yenu kweli?Hivi Chadema wana wimbo kweli?[emoji3]
means mashabiki wake ambao ni wapinzani hawahitaji tena.Kuna kiitikio wapinzani wamekaa...aaah...ameimba vizuri sana.
Hivi Chadema wana wimbo kweli?[emoji3]
Wananchi hawahitaji nyimbo wanahitaji sera nzuri
Upo unaitwa bwana wetu amsterdam
hivi CCM bila wasanii mngepata hata watu 100 kwenye mikutano yenu kweli?
yes ni kweli bila wasanii wananchi hawashawishiki kuja kwenye mikutano ya CCM.Huo ni utamaduni wa Ccm tangu na tangu