Wimbo wa Zuchu utakuwa wimbo bora sana wa kampeni kipindi hiki

Leo mwendo ni Lulembela tunaimba wimbo uleule na Mgombea wa Ubunge wilaya ya Mbogwe Ndugu Nicodemas H.Maganga.
 
Kiukweli sipendelei mambo ya siasa ila nilisikia kwa bahati mbaya mtu mmoja anausikiliza huo wimbo aisee kama usingekuwa na maudhui ya kisiasa kwa melody ile lingekuwa bonge la wimbo......Zuchu anajitahidi sana kufanya vitu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…