Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Me kwenye hiyo album kuna dude nalikubali linaitwa BHOKE dah! Hiyo ngoma hatari sana! Mwamba kaimba sana humoAlbum yote ya Cinderella ilikuwa ni FIRE, FIRE, FIREEEE.
Kuna goma moja humo unaweza kusikiliza tu ukashiba ukalala.
Goma linaitwa Sabrina[emoji116][emoji116]
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Alikiba ni moja ya wasanii ambao hawatumii nguvu kubwa kuandika hits.
Hahaha nomaaaaHoney bunny we unabana,
Wengine wote wanaachia ayayayaaa
Mvumo wa radi.
UsinisemeUle Usinicheke mi napenda Kula..
Weeee usiniambieChokochoko alizianzisha ili arudi kwenye chat,kwani kipindi yeye anarudi Mondi tayari yupo juu kimziki na number one ikachukua tuzo 3 channel 0 na ilimboost.
Ila sijui nani alimzibua masikio,Madam Rita alikua anatupotezea kiba,kijana yy kipindi hiko ilikuwa kusugua mbunye ya madame.
OnPointAlbum yote ya Cinderella ilikuwa ni FIRE, FIRE, FIREEEE.
Kuna goma moja humo unaweza kusikiliza tu ukashiba ukalala.
Goma linaitwa Sabrina[emoji116][emoji116]
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Alikiba ni moja ya wasanii ambao hawatumii nguvu kubwa kuandika hits.
Ndio hivyo alikuwa anaisugua mbunye ya madam sijui nani alimshtua,ila madam alimlemaza na vihelahela.Weeee usiniambie
Alooh! Huo wimbo kila siku kama ni mpyaMshumaa, ila acheni uwendawazimu wa kumlinganisha hyu chaliii na simba.
Ngoma imetulia sana kwakwelAlooh! Huo wimbo kila siku kama ni mpya
Inaitwa NichumNichum bebi wangu nami nikuchumm wawawaa.... Sijui inaitwaje hiyo ngoma
Bibi Ritta kampoteza sana huyo dogo, alinogewa na umarioo akasahau kazi sasa baada ya kuona new comers wanasifiwa sana akasanuka akaacha umarioo akarudi kwenye game na kukuta fame ya Domo iko juu sana, tokea hapo mpaka sasa anatimuliwa vumbi tu.Chokochoko alizianzisha ili arudi kwenye chat,kwani kipindi yeye anarudi Mondi tayari yupo juu kimziki na number one ikachukua tuzo 3 channel 0 na ilimboost.
Ila sijui nani alimzibua masikio,Madam Rita alikua anatupotezea kiba,kijana yy kipindi hiko ilikuwa kusugua mbunye ya madame.