Bibi Ritta kampoteza sana huyo dogo, alinogewa na umarioo akasahau kazi sasa baada ya kuona new comers wanasifiwa sana akasanuka akaacha umarioo akarudi kwenye game na kukuta fame ya Domo iko juu sana, tokea hapo mpaka sasa anatimuliwa vumbi tu.
Mbaya hata fans wake wamehamia kwa Chinga boy na kuzidi kumpoteza kwenye ramani.
una miaka mingapi?
Domo sio generation ya Ali Kiba!!!
So kama yuko juu is just okay, sio generation yake ....
Wote ambao walianza na Ali kiba hawako kwenye game, mpe heshima zake huyu....hana kiki hana nini...he is just there
wewe ukianza kuimba leo, utapata washabiki tu...hata iweje, hata uwe na sauti mbaya kama mashine ya alizeti
Ali Kiba ana generation ya watu wa miaka 35-60+ ambao kipindi ana piga nyimbo aliwatengenezea memories ambazo hazifutuki....sio issue ya kupotezwa, ALi kiba atakuwepo sana tu
leo May 2021, huyo aliyejuu tunasubiri single zake sio modification za nyimbo za watu...Diamond wa Mbagala na Nenda Kamwambie hayupo pia!!
Kingine msipende kuongea lugha za kapotezwa, kapitwa, ...imekaa kiswahili swahili zaidi, we have so many talented kids out there...so many
Nampenda Hamornize, ila siwezi kumsahau Ali Kiba
Nyimbo tamu za Diamond nasikiliza ...nyingi zile za solo, lakini kamwe utamuwa nyimbo za Ali kiba ni Unique
kila mmoja ana ladha yake, uzuri wake na strength zake...ni TZ ambapo unakuta mnajenga mabifu yanaingia moyoni mpaka unazira kusikiliza nyimbo za fulani
Yaani eti kaporwa washabiki na Harmonize....so hawasilizi tena za kiba wala za diamond? unataka hili tatizo liwe la Kiba? haujaona washabiki wa aina ya muono huu ndio wajinga?
style ya kiba, speed yake, sitaki nataka kuimba, hana papara wala upepo wa msimu, anasogea mpaka anafikisha 60 ataimba tu huyu mwamba
Alioanza nao wanarudi na kutoka....sio wa kawaida huyu, na usisahau he is real....bongo flavor anaitendea haki, sio ndombolo....au harmonise anasema Afrobeat...waaapi? kukaa na kufikiria kibongo flavor sio rahisi.
just watch