Haitham Kim
R I P
- Feb 11, 2020
- 11
- 43
Watanzania Tunakulilia Baba 😭
@haithamkim X @wyse_tz
Official Video is out ‼️
Ukinionesha andiko,sheria au kipengele kinachosema hivyo nitakushukuru sana mkuuWimbo wa maombolezo unatakiwa kuwa na angalau dakika 6 kwa uchache na kwa urefu dakika 12.
Huu wimbo wa Haitham Kim X Wyse - Tunalia Watanzania (Official video) dakika 2.29 tu haufai kuwa wa maombolezo.
Ahsante sana ndugu yetu, sote tunalia nawe kwa kupoteza kiongozi shupavu katika bara la Afrika, Afrika nzima wanamlilia Magufuli kwa uzalendo wake na uchapakaziWatanzania Tunakulilia Baba 😭
@haithamkim X @wyse_tz
Official Video is out ‼️
Dr Magufuli wewe ulikua zaidi ya Rais zaidi ya Mzazi zaidi ya Kiongozi, Ulitupa ujasiri tulipokua na hofu, Ulitutia matumaini tulipokata tamaa, ulituheshimisha tulipodharauliwa, Ulitupenda pale tulipochukiwa, Ulitufundisha namna bora ya kujipatia maendeleo kwa kutumia hata kipato kidogo kidogo tulichokua nacho, Ulitutia moyo pale tulipoona hatuwezi chochote, kwanini umewahi mapema tukiwa bado tunakuhitaji nimeamini vizuri havidumu tangulia baba hakika wewe ni shujaa Ee Mwenyezi Mungu wa rehema tunakuomba umpokee Baba yetu katika makao mema ya milele😭😭😭😭😭 Pia mpe nguvu Mama yetu Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan tunaimani atatuvusha pia ninaimani kuwa Mungu una mapenzi mema na nchi yetu ya Tanzania, Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania.Watanzania Tunakulilia Baba 😭
@haithamkim X @wyse_tz
Official Video is out ‼️
acha roho mbaya mkuuWimbo wa maombolezo unatakiwa kuwa na angalau dakika 6 kwa uchache na kwa urefu dakika 12.
Huu wimbo wa Haitham Kim X Wyse - Tunalia Watanzania (Official video) dakika 2.29 tu haufai kuwa wa maombolezo.
Wimbo mzuri, ila hukuwa na haja kushika hiyo smartphone yako!Watanzania Tunakulilia Baba [emoji24]
@haithamkim X @wyse_tz
Official Video is out [emoji845]