downloading interrupted....
Save the best for last by Vanessa williams!
Mambo Amy..
Yes Amy...
Vipi weekend?
Nimeguswa na wimbo huu,wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini, ajuaye bwana Mungu kwa mgonjwa kuwa mzima na mzima kuwa mfu,leo tunawapa pole..Rozi Muhando - Ndivyo Ulivyo [official video].flv - YouTube
Ndivyo Ulivyo By Rose Mhando..... wewe ni Wimbo upi umekugusa sana/ umeupenda sana Jumapili/siku ya leo hii?