Wimbo ya Dullah Makabila

Wimbo ya Dullah Makabila

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Unjani sabuwona,

Kiukweli nimependa Ubunifu wa dulla makabila! Nyimbo imekamilika kila idara kila kitu alichoongea makabila kina uhalisia kabisa

Nimependa idea ya dulla makabila kumtumia mchungaji pale ndipo aliponivutia! Kiukweli hawa wachungaji ni jibu kabisa hususani wachungaji tokea bara.

Sina mengi ni hayo tu! Watu wa bara mnaboa sana.
 
Ndio Pita huku ni jina la wimbo mpya wa Dulla Makabila, Makabila kama msanii katumia kipaji chake kuwasilisha mawazo/ujumbe wake kisanii kwa jamiii.

Alichoimba Dulla ni uhalisia wa matukio yanatokea kwenye jamii zetu kila siku,tulitegemea tupate ujumbe kama wa dulla kutoka kwenye vikundi vya kuimba nyimbo za Dini lakin tumepata kutoka kwa msanii wa Singeli ndio hakuna tabu.

Kama nakumbuka mwl wa Kiswahili alinijuza kazi za Fasihi kwa pamoja yani fahisi andishi na simulizi pamoja na sanaa ambao ni ufundi wa kuwasilisha mawazo ya mtunzi ni
Kuelimisha, kuburudisha, kufikisha jumbe mbalimbali, kuonya, kukemea...nk

Dullla kasimamia vyote hivyo zaidi ya kusikiliza midundu tu pia tusikilize Ujumbe, katukumbusha nyakati za mwisho zipo na kila mtu atatoa hesabu zake.

Tukumbuke ukiwa hai Bwana Yesu anasimama kama wakili ila ukifa anasimama kama Hakimu.

Tubadilike, ndio pita huku
 
Kuna nabii mmoja hupenda kuwazawadia fedha wasanii wa kidunia wanaoimba ujumbe wa mungu, amuone na huyu amzawadie
 
Ila nini sema yule shoga kwenye wimbo wa bwana dulla anafanania Shehe kabisa sema hakuvaa kanzu tu.
 
Back
Top Bottom