BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Wale team kupumliwa huwa hawaishiwi sababu.Wakati wanapitwa viewers na zilipendwa wakaanza hooo wananunua...sasa wamevunjwa migongo na rekodi kukanyagwa chini sasa wanasema hoooo wananunua.Hivi mtu anatafuta pesa iweje atoe pesa tena...Nyie MABABU WA KARIAKOO vepeeHaters watasema kanunua dislikes
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweliWale team kupumliwa huwa hawaishiwi sababu.Wakati wanapitwa viewers na zilipendwa wakaanza hooo wananunua...sasa wamevunjwa migongo na rekodi kukanyagwa chini sasa wanasema hoooo wananunua.Hivi mtu anatafuta pesa iweje atoe pesa tena...Nyie MABABU WA KARIAKOO vepee
[HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
Myself sijasubscribe lakini hamna wimbo wa diamond na za kibongo kwa ujumla zinazonipita provided zimenipendeza masikioniNenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kwjeli
Kiba ana subs 75k kwny acc yake ya vevo alafu seduce me ilipata viewz 1M within 38 hrs vipi uhusiano wake upoje..!?Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
See you again yenyewe ya pili kwa viewers wala haijawa uploaded kupitia vevo....Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Unajua maana ya SUBSCRIPTION na VIEWERS kweli???Naona hujui unachokoment ni nini.Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Akili hana huyo.Hajui anachokisema.Mkuu watu kama hao ndo wanafanya Tanzania kujaa wapumbavuS
See you again yenyewe ya pili kwa viewers wala haijawa uploaded kupitia vevo....
Inakua as if mbongo hawezi fanya vizuri bila kuwekewa figisu. Sema diamond pamba aliyoweka masikioni mwake inamsaidia sana.
Hata Chris Brown anatoa nyimbo nyingi and some anasample sanaaaa like questions lakini kwao wanampa support.
Achana nae huyo babu hahaha.Hajui hata anachokiandikaKiba ana subs 75k kwny acc yake ya vevo alafu seduce me ilipata viewz 1M within 38 hrs vipi uhusiano wake upoje..!?
Huku mond ana 700k kwny acc yake ya YouTube na ameshafikisha 1M mpk asa iv.
Huna akiliNenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Kwasababu amemshirikisha Harmonize, nadhani Harmonize ni moja wasanii wanochukiwa sana hapa bongo, wabongo hawaamini kama mmakonde anaweza kutisha kwenye bongoflevaUle wimbo ya Young Killer aliyomshirikisha Hamornize "Unaionaje" umepata dislikes nyingi saa kuliko likes
Hivyo Young killer amejitengenezea histora nchini, ndio msanii wa kwanza kupata dislikes nyingi. Amepata dislikes 7,000 na likes ni 5,000 hivyo tofauti ni 2,000.
We unazo!!!!Huna akili
Usiwe na akili za kushikiwa Mkuu. Sio kila mtu anayeangalia wimbo lazima a subscribe, binafsi sija subscribe kwenye channel yoyote youtube lakini msanii yeyote ninayependa kazi zake akitoa ngoma/video lazima taarifa inifikie na lazima nikaangalie. Cheki sample ya hizi picha alafu tafuta huo wastani wa kati ya walio subcribe na walio tazama video.Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haters watasema kanunua dislikes
Nimekuelewa mkuuUsiwe na akili za kushikiwa Mkuu. Sio kila mtu anayeangalia wimbo lazima a subscribe, binafsi sija subscribe kwenye channel yoyote youtube lakini msanii yeyote ninayependa kazi zake akitoa ngoma/video lazima taarifa inifikie na lazima nikaangalie. Cheki sample ya hizi picha alafu tafuta huo wastani wa kati ya walio subcribe na walio tazama video.
Vyema mkuu, naomba usaidie kuwatoa wengine kwenye Wingu la fikraNimekuelewa mkuu