Wimbo Young Kiler una dislikes nyingi sana kuliko likes

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Ule wimbo ya Young Killer aliyomshirikisha Hamornize "Unaionaje" umepata dislikes nyingi saa kuliko likes

Hivyo Young killer amejitengenezea histora nchini, ndio msanii wa kwanza kupata dislikes nyingi. Amepata dislikes 7,000 na likes ni 5,000 hivyo tofauti ni 2,000.

25102b895c5bb5a03024116ee4006b38.jpg
 
Haters watasema kanunua dislikes
Wale team kupumliwa huwa hawaishiwi sababu.Wakati wanapitwa viewers na zilipendwa wakaanza hooo wananunua...sasa wamevunjwa migongo na rekodi kukanyagwa chini sasa wanasema hoooo wananunua.Hivi mtu anatafuta pesa iweje atoe pesa tena...Nyie MABABU WA KARIAKOO vepee
[HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
 
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
 
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kwjeli
Myself sijasubscribe lakini hamna wimbo wa diamond na za kibongo kwa ujumla zinazonipita provided zimenipendeza masikioni
Plus Luis wa despacito ana subscribes 12M plus vevo but wimbo wake una 3B plus kuna uwiano hapo???
Kama ishu ni kununua basi kila anayejisikia na anunue.
Kelele nyingi huyo domo na bushman wana nyimbo ngapi ngapi vevo na zina viewers wangapi????
 
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Kiba ana subs 75k kwny acc yake ya vevo alafu seduce me ilipata viewz 1M within 38 hrs vipi uhusiano wake upoje..!?
Huku mond ana 700k kwny acc yake ya YouTube na ameshafikisha 1M mpk asa iv.
 
S

See you again yenyewe ya pili kwa viewers wala haijawa uploaded kupitia vevo....
Inakua as if mbongo hawezi fanya vizuri bila kuwekewa figisu. Sema diamond pamba aliyoweka masikioni mwake inamsaidia sana.
Hata Chris Brown anatoa nyimbo nyingi and some anasample sanaaaa like questions lakini kwao wanampa support.
 
Unajua maana ya SUBSCRIPTION na VIEWERS kweli???Naona hujui unachokoment ni nini.
 
S

See you again yenyewe ya pili kwa viewers wala haijawa uploaded kupitia vevo....
Inakua as if mbongo hawezi fanya vizuri bila kuwekewa figisu. Sema diamond pamba aliyoweka masikioni mwake inamsaidia sana.
Hata Chris Brown anatoa nyimbo nyingi and some anasample sanaaaa like questions lakini kwao wanampa support.
Akili hana huyo.Hajui anachokisema.Mkuu watu kama hao ndo wanafanya Tanzania kujaa wapumbavu
 
Kiba ana subs 75k kwny acc yake ya vevo alafu seduce me ilipata viewz 1M within 38 hrs vipi uhusiano wake upoje..!?
Huku mond ana 700k kwny acc yake ya YouTube na ameshafikisha 1M mpk asa iv.
Achana nae huyo babu hahaha.Hajui hata anachokiandika
 
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Huna akili
 
Ule wimbo ya Young Killer aliyomshirikisha Hamornize "Unaionaje" umepata dislikes nyingi saa kuliko likes

Hivyo Young killer amejitengenezea histora nchini, ndio msanii wa kwanza kupata dislikes nyingi. Amepata dislikes 7,000 na likes ni 5,000 hivyo tofauti ni 2,000.

25102b895c5bb5a03024116ee4006b38.jpg
Kwasababu amemshirikisha Harmonize, nadhani Harmonize ni moja wasanii wanochukiwa sana hapa bongo, wabongo hawaamini kama mmakonde anaweza kutisha kwenye bongofleva
 
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Usiwe na akili za kushikiwa Mkuu. Sio kila mtu anayeangalia wimbo lazima a subscribe, binafsi sija subscribe kwenye channel yoyote youtube lakini msanii yeyote ninayependa kazi zake akitoa ngoma/video lazima taarifa inifikie na lazima nikaangalie. Cheki sample ya hizi picha alafu tafuta huo wastani wa kati ya walio subcribe na walio tazama video.
138cab657d9f4d8b2ae5982eaad73456.jpg
5f04b9d4c9150d9d062d61157a904e08.jpg
 
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom