miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
Yaani nyie team domo kama mmechanganyikiwa yaani hapa anaongelewa youngkiller nyie mnaingiza habari za zilipendwa.. Mmerogwa nyieWale team kupumliwa huwa hawaishiwi sababu.Wakati wanapitwa viewers na zilipendwa wakaanza hooo wananunua...sasa wamevunjwa migongo na rekodi kukanyagwa chini sasa wanasema hoooo wananunua.Hivi mtu anatafuta pesa iweje atoe pesa tena...Nyie MABABU WA KARIAKOO vepee
[HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
Kuna wengine humu kuelekeza hawajui wanaanza kutukana2 cjui ndio hulka yao wanaboa kwer yani nami nikieleweshwa sio mbishi yan mabishano yasiyo na tija sio mazurVyema mkuu, naomba usaidie kuwatoa wengine kwenye Wingu la fikra
Hehe!Haters watasema kanunua dislikes
Tatizo lao wamejaza history vichwani hata hesabu za kufikilia zinawashinda!Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Nielekeze sasaUnajua maana ya SUBSCRIPTION na VIEWERS kweli???Naona hujui unachokoment ni nini.
We BABU WA KARIAKOO vipi,mbona povu,mwaka huu mtakoma hadi babu wenu wa kariakoo aimbe tena MSINISEME KAMA NAPENDA KULAYaani nyie team domo kama mmechanganyikiwa yaani hapa anaongelewa youngkiller nyie mnaingiza habari za zilipendwa.. Mmerogwa nyie
Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
Hahahahahahahahha dadeqHaters watasema kanunua dislikes
Ishi wa ajabu kweli ww,kwani lazma uskribuNenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Madogo wamenza kutumia youtube juzijuzi baada ya kuja simu za tecno,ndo mana wanaongea wasiyoyajuaUnajua maana ya SUBSCRIPTION na VIEWERS kweli???Naona hujui unachokoment ni nini.
Sio lazimaIshi wa ajabu kweli ww,kwani lazma uskribu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haters watasema kanunua dislikes