Wimbo Young Kiler una dislikes nyingi sana kuliko likes

Wimbo Young Kiler una dislikes nyingi sana kuliko likes

Wale team kupumliwa huwa hawaishiwi sababu.Wakati wanapitwa viewers na zilipendwa wakaanza hooo wananunua...sasa wamevunjwa migongo na rekodi kukanyagwa chini sasa wanasema hoooo wananunua.Hivi mtu anatafuta pesa iweje atoe pesa tena...Nyie MABABU WA KARIAKOO vepee
[HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
Yaani nyie team domo kama mmechanganyikiwa yaani hapa anaongelewa youngkiller nyie mnaingiza habari za zilipendwa.. Mmerogwa nyie

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Vyema mkuu, naomba usaidie kuwatoa wengine kwenye Wingu la fikra
Kuna wengine humu kuelekeza hawajui wanaanza kutukana2 cjui ndio hulka yao wanaboa kwer yani nami nikieleweshwa sio mbishi yan mabishano yasiyo na tija sio mazur
 
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Tatizo lao wamejaza history vichwani hata hesabu za kufikilia zinawashinda!
 
Nenda kwenye wimbo wa diamond kule tube angalia walio subscribe na viewes alaf uone wastani wake kama unaendana!!! Unatoa povu akat kitu kipo wazi wananunua kweli
Ishi wa ajabu kweli ww,kwani lazma uskribu
 
Unajua maana ya SUBSCRIPTION na VIEWERS kweli???Naona hujui unachokoment ni nini.
Madogo wamenza kutumia youtube juzijuzi baada ya kuja simu za tecno,ndo mana wanaongea wasiyoyajua
 
heading nyingine na kinachojadiliwa kingine basi vurugu tupu tu
 
Back
Top Bottom