Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kutokana na changamoto za kifedha, nimeamua kila shilingi moja katika ujenzi lazima nisevu. Badala ya fundi kumpatia kazi yote ya kupiga plasta ,na yeye kutafuta vibarua nimeona napata hasara. Nimekuja na njia ya kupatana na fundi kwa kila chumba; akifanya vizuri anahamia chumba kingine.
Kuna mmoja nimepatana naye, chumba chenye ukubwa wa mita 6 kwa 10 kupiga plasta ukutani na juu kwa shilingi laki 3; nilipokuwa saiti leo, mpaka nikawaonea huruma wanavyopindisha shingo kupiga juu; wanarusha rojo ya simenti inadondoka chini, wanarusha tena inadondoka, mpaka nikawaonea huruma kwa hela tuliokubaliana.
Lakini ndio hivyo; mi naona nimesevu sana. Ingawa inakuwa ni 'win/lose situation'