'Win/Lose situation' kwenye ujenzi

'Win/Lose situation' kwenye ujenzi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kutokana na changamoto za kifedha, nimeamua kila shilingi moja katika ujenzi lazima nisevu. Badala ya fundi kumpatia kazi yote ya kupiga plasta ,na yeye kutafuta vibarua nimeona napata hasara. Nimekuja na njia ya kupatana na fundi kwa kila chumba; akifanya vizuri anahamia chumba kingine.

Kuna mmoja nimepatana naye, chumba chenye ukubwa wa mita 6 kwa 10 kupiga plasta ukutani na juu kwa shilingi laki 3; nilipokuwa saiti leo, mpaka nikawaonea huruma wanavyopindisha shingo kupiga juu; wanarusha rojo ya simenti inadondoka chini, wanarusha tena inadondoka, mpaka nikawaonea huruma kwa hela tuliokubaliana.

Lakini ndio hivyo; mi naona nimesevu sana. Ingawa inakuwa ni 'win/lose situation'
 
Chumba cha kawaida hua ni 60k.. kwakuanchako ni kikubwa na kuna dari, badi 150,000 ingetosha..
Square meter moja ya plaster ni elfu 2000 minimum price kwa bei ya kampuni mtaani ni zaidi ya hapo ww hiyo bei ya 150 umeitoa wap?

Kongole kwa mtoa thread umelenga kwenye price maana ukipiga kwa chumba cha meter 6x10 na kuta zenye urefu wa meter 3 kwenda juu
Hesabu ya estimate inafanyika hivi
Ukuta mmoja wa 6 meter= 6*3= 18*2 = 36meter square
Ukuta wa 10 meter = 10*3=30*2 = 60 meter square
Dari = 6*10= 60 square meter
Total square meter 36+60+60= 186square meter

186* 2000= 372000
Ukitoa openings bei inaweza range below hapo kwahio 300k ni bei poa sanaa
 
Hii formula nilikuwa siijui, kuna kitu nimejifunza
 
Hii formula nilikuwa siijui, kuna kitu nimejifunza
Hivyo ndo namna estimate za kazi za ujenz zinavyofanywa ni mwendo wa kucheza na sqm za ujenz na market price ya sqm moja kwa kaz husika. Ukijua hii hata siku moja huwez laliwa kwny ujenz na mafundi wetu wa mtaani kwakua hawapend kujifunza yeye anajitajia bei tu akiwa hajui basics za hiyo bei imetokea wap

Bei yoyote ya kaz yoyote ya ujenz basic yake ni sqm kwa market price
 
kwa fundi wangu wa mtaani...hicho chumba anapiga plasta kwa 80 elfu tu...hapo vibarua wake wawili na fundi msaidizi mmoja..kwisha kazi...akiifanya kwa siku mbili ndo walau atapata 160k
 
Square meter moja ya plaster ni elfu 2000 minimum price kwa bei ya kampuni mtaani ni zaidi ya hapo ww hiyo bei ya 150 umeitoa wap?

Kongole kwa mtoa thread umelenga kwenye price maana ukipiga kwa chumba cha meter 6x10 na kuta zenye urefu wa meter 3 kwenda juu
Hesabu ya estimate inafanyika hivi
Ukuta mmoja wa 6 meter= 6*3= 18*2 = 36meter square
Ukuta wa 10 meter = 10*3=30*2 = 60 meter square
Dari = 6*10= 60 square meter
Total square meter 36+60+60= 186square meter

186* 2000= 372000
Ukitoa openings bei inaweza range below hapo kwahio 300k ni bei poa sanaa
Hao mafundi wenu mnawatoaga wapi?
 
Umesema chumba kina urefu mita 6 kwa mita 10.

Hii ni sawa na futi 18 kwa futi 30

Ukigawa mara mbili vizur icho chumba,
unatoa vyumba viwili standard vya futi 9 kwa 15

Wakati uku mtaani chumba standard Cha futi 10 kwa futi 10, Bei huwa Ni 50,000 ukutani na sakafu elfu 20.
Ila wewe tunahesabu una vyumba viwili hapo.

Kwaiyo
Icho chumba chako ukutani+ juu ulipaswa kulipa 140,000. Umezidi Sana 180,000 au 200,000 akipiga na rough floor.
 
Hata Mimi mafundi wangu chumba wanapiga 70,000 tu
Hata Mimi huwa wanapiga ivyo,
Bei za chumba standard cha square meter 10 mpaka 12.

Bei ya ukutani Ni 50,000
Na floor Ni 20,000

JUMLA 70,000 na fundi anafanya KAZI kwa moyo wote.
 
Hata Mimi huwa wanapiga ivyo,
Bei za chumba standard cha square meter 10 mpaka 12.

Bei ya ukutani Ni 50,000
Na floor Ni 20,000

JUMLA 70,000 na fundi anafanya KAZI kwa moyo wote.

Tuko pamoja kiongozi
 
Back
Top Bottom