Wind turbine energy

Wind turbine energy

Attachments

  • 1451290662606.jpg
    1451290662606.jpg
    21 KB · Views: 37
  • 1451290674601.jpg
    1451290674601.jpg
    40.1 KB · Views: 35
Tusaidie mkuu he upepo wake unatakiwa use kama ule Wa singida au maana cc wengine wakazi Wa dar huku unaamka mpaka jioni miti imeganda utafikiri imepigwa picha je itatufaa kwa huku.
 
Tusaidie mkuu he upepo wake unatakiwa use kama ule Wa singida au maana cc wengine wakazi Wa dar huku unaamka mpaka jioni miti imeganda utafikiri imepigwa picha je itatufaa kwa huku.

START OF CHARGING WIND SPEED 3 m/s (7 mph)

NOMINAL SPEED 12,5 m/s

MAXIMUM WIND SPEED 45 m/s

Ikiwa ataweka from ground, pole iwe na urefu kuanzia 6m to 12. Eneo liwe la wazi, sio uwe umezungukwa na vigorofa
 
Unafanya biashara au ndio just for our information? Maana sioni contacts zako.
 
Unafanya biashara au ndio just for our information? Maana sioni contacts zako.
Sifanyi biashara, ila ukihitaji naweza kununulia. Like you said just information.
 
Back
Top Bottom