Windeck! Windeck! Windeck!

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,138
Reaction score
1,044
Jambo Wadau!
Kwa yeyote anayefahamu. Huyu kijana Cabo Snoop (aliyeimba wimbo 'windeck' unaotamba hivi sasa) ni raia wa nchi gani? Au ni kikundi cha wanamuziki wa nchi gani? Nawasilisha!
 
dah! Umenikumbusha wezzal wa BBA from angola,namzimia sana huyo binti.....
 
Cabo snoop Ni msanii kutoka ANGOLA!!
 
Wengine Jua, wengine Mvua! Mbona mnanichanganyaaaaa? Aaaarrgh!!
 
dah! Umenikumbusha wezzal wa BBA from angola,namzimia sana huyo binti.....
Hata mi nikisikia windek namkumbuka sana Wezza, alikuwa anaipenda sana... "IN ANGOOOOLA....."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…