Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,044
Jambo Wadau!
Kwa yeyote anayefahamu. Huyu kijana Cabo Snoop (aliyeimba wimbo 'windeck' unaotamba hivi sasa) ni raia wa nchi gani? Au ni kikundi cha wanamuziki wa nchi gani? Nawasilisha!