Windhoek Lager zipo aina mbili?

Windhoek Lager zipo aina mbili?

ComputersDAR

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
213
Reaction score
242
Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.

Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.

Asanteni.
 
Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.

Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.

Asanteni.

Ingekuwa Heineken ningekwambia ni za South Africa maana kuna kiwanda kinazalisha hapo RSA,zina taste ya tofauti na za Holland.Kwa mnywaji anajua tofauti.
Windhoek sijui shida itakuwa nini maana zote zinatoka Namibia!
 
Kuna za maprosoo

Kuna majamaa kimara wanafyatua hiyo mizigo kama kawaida .. no muhim kuwa makini sana kwenye unywaji.
Siku moja Tabora bar moja nimewah letewa Heineken Shanghai.... makinika mzee
 
Hizo bia Tanzania zipo aina mbili moja chupa n kijani iliozoeleka ndo hii ipo nyingi mtaani na nyingine chupa yake n kijani inayoenda kuwa nyeusi yaan kijan ya kufifia na ladha yake n tofauti kabisa na hii ya kawaida.

Mara nyingi hyo nyingine watu hupewa usiku muda wa kulewa Mana haxiuziki kwa mazingira ya kawaida mpaka ulazimishwe kuinunua Kama hvyo umeletewa na ushafunguluwa na uoga ws kitanzania wa kijinga unainywa tuu huna namna
 
Huko nimeshajitoa mambo yote Ulanzi tu...watu wanaharibu sana FOMULA
 
Angalia tofauti ya jinsi maandishi ya lebo yanavyoishia kwenye chupa hizi mbili.
Chupa ya kwanza ni Windhoek feki mstari wa mwisho wa maandishi kwenye lebo (namba 18) yanakaribia kabisa “Please Recycle” kulia ya chupa.

Chupa ya pili ni Windhoek OG. Msatari wa mwisho wa maandishi (namba 18) kwenye lebo yanaishia nyuma ya “Please Recycle” kulia ya chupa.

4D7FBA01-0982-4F40-987B-362450C6B411.jpeg

692260E5-06B2-426B-9043-2B808AD6BB57.jpeg
 
Mabibo Beers, Wines & Spirits watoe tamko kuhusu hili. Kwanini kuna Windhoek Lager zenye ladha tofauti sokoni?
 
Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.

Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.

Asanteni.
Enzi ya jakaya nishachakachua sana windoku kwa kuzijaza kilimanjaro kipindi zinauzwa buku tano huku klm yauzwa buku mbili tu.........vuna sana ela kula sana raha....

Sasa inawezekana izi mambo zimerudi tena

Hayo makonyagi ndio usiseme kipindi kile cha vitoti
 
Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.

Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.

Asanteni.
Kuna whindoek Lager na whindoek drought, ysije ukawa umechangnya, binafsi nakunywaga drought hazinaga hazina harufu wala hangover hata ninywe mpaka asubuhi
 
Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.

Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.

Asanteni.
Ndio ziko aina mbili,kuna zile zinatengenezwa afrika ya kusini na zinazotengezwa namibia,pia kuna windhoek lager na windhoel drought

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
kuna whindoek Lager na whindoek drought, ysije ukawa umechangnya, binafsi nakunywaga drought hazinaga hazina harufu wala hangover hata ninywe mpaka asubuhi
Windhoek draught naijua vizuri nilikuwa naimiminia kooni kama sina akili nzuri lakini baadaye nikaichoka maana hadi shoppers supermarket mtaani hamna. Hii ni lager.
 
Back
Top Bottom