Windhoek Lager zipo aina mbili?

Windhoek Lager zipo aina mbili?

Safari zenyewe nasikia zina ladha tofauti kati ya hizi kubwa na ndogo.
 
Enzi ya jakaya nishachakachua sana windoku kwa kuzijaza kilimanjaro kipindi zinauzwa buku tano huku klm yauzwa buku mbili tu.........vuna sana ela kula sana raha....

Sasa inawezekana izi mambo zimerudi tena

Hayo makonyagi ndio usiseme kipindi kile cha vitoti
Jinai haifi,utanyakwa tuu
 
Ingekuwa Heineken ningekwambia ni za South Africa maana kuna kiwanda kinazalisha hapo RSA,zina taste ya tofauti na za Holland.Kwa mnywaji anajua tofauti.
Windhoek sijui shida itakuwa nini maana zote zinatoka Namibia!
Kwani mzee Rugemalira wa Escrow si ndio ana trademark ya Windhoek hapa Tanzania kupitia Mabibo Winery yake
 
Angalia tofauti ya jinsi maandishi ya lebo yanavyoishia kwenye chupa hizi mbili.
Chupa ya kwanza ni Windhoek feki mstari wa mwisho wa maandishi kwenye lebo (namba 18) yanakaribia kabisa “Please Recycle” kulia ya chupa.

Chupa ya pili ni Windhoek OG. Msatari wa mwisho wa maandishi (namba 18) kwenye lebo yanaishia nyuma ya “Please Recycle” kulia ya chupa.

View attachment 1886271

View attachment 1886278
Hiyo Fake inazalishwa na nani? Ukiletewa unaweza kataa? Au zote Ni windhoek halali ila version. Tofauti?
 
Back
Top Bottom