ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.
Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.
Asanteni.
Nipo Ludewa huku wiki ya pili sijagusa pombe yoyote ya kiwandani.Huko nimeshajitoa mambo yote Ulanzi tu...watu wanaharibu sana FOMULA
Hata wapenzi feki wapoKuna fake zake....
Enzi ya jakaya nishachakachua sana windoku kwa kuzijaza kilimanjaro kipindi zinauzwa buku tano huku klm yauzwa buku mbili tu.........vuna sana ela kula sana raha....Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.
Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.
Asanteni.
Kuna whindoek Lager na whindoek drought, ysije ukawa umechangnya, binafsi nakunywaga drought hazinaga hazina harufu wala hangover hata ninywe mpaka asubuhiMimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.
Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.
Asanteni.
Ndio ziko aina mbili,kuna zile zinatengenezwa afrika ya kusini na zinazotengezwa namibia,pia kuna windhoek lager na windhoel droughtMimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa.
Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni.
Asanteni.
Windhoek draught naijua vizuri nilikuwa naimiminia kooni kama sina akili nzuri lakini baadaye nikaichoka maana hadi shoppers supermarket mtaani hamna. Hii ni lager.kuna whindoek Lager na whindoek drought, ysije ukawa umechangnya, binafsi nakunywaga drought hazinaga hazina harufu wala hangover hata ninywe mpaka asubuhi