Windhoek Lager zipo aina mbili?

Safari zenyewe nasikia zina ladha tofauti kati ya hizi kubwa na ndogo.
 
Jinai haifi,utanyakwa tuu
 
Ingekuwa Heineken ningekwambia ni za South Africa maana kuna kiwanda kinazalisha hapo RSA,zina taste ya tofauti na za Holland.Kwa mnywaji anajua tofauti.
Windhoek sijui shida itakuwa nini maana zote zinatoka Namibia!
Kwani mzee Rugemalira wa Escrow si ndio ana trademark ya Windhoek hapa Tanzania kupitia Mabibo Winery yake
 
Hiyo Fake inazalishwa na nani? Ukiletewa unaweza kataa? Au zote Ni windhoek halali ila version. Tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…