Window 10 na ulaji mwingi Wa data

Window 10 na ulaji mwingi Wa data

Ukiweka window 10 jitahidi ufanye full update kwanza ndio uanze kuitumia utaona iko poa Ila unavyo fanya update jipange na GB 5,ukisema uweke update off linakuwa zito huwezi una mzuka wa window 10
 
Ktk hayo yoote uliyoshauriwa, isisahau kuweka metered. Baada ya kuikonect hy Hotspot yako, nenda kwenye network then ingia advance na uiambie kwamba hy network uliyoiunganisha iwe metered, pia kuna sehemu unatakiwa kuunchek kwamba isiwe inaupgrade. By the way hii window imetengemezwa kwa ajili ya kuwa connected mtandaoni muda wote ndio maana kuna sehemu ya news tofauto tofauti na mambo kibao ya kukupa update za duniani na wao kwao data sio tatizo wifi kila mahali kivumbi huku kwetu
 
Shukrani mkuu kwa maelezo yako,ubarikiwe[emoji120] [emoji120]
 
Ukiweka window 10 jitahidi ufanye full update kwanza ndio uanze kuitumia utaona iko poa Ila unavyo fanya update jipange na GB 5,ukisema uweke update off linakuwa zito huwezi una mzuka wa window 10
Shukrani mkuu,ubarikiwe[emoji120] [emoji120]
 
Kwa windows 10 huwezi kuzuia auto update bila kufika kwenye administrative templates....

Ni kweli kabisa wengi Ni wahanga wa kupoea kwa bundle... Nitafundindisha hapa kwa ufupi...

Kwenye keyboard yako bonyeza Windows button + R
Hapo utafungua Run comand dialog kisha utaandika (gpedit.msc) bila mabano kisha bonyeza Enter

Itafunguka kwenye Local Computer Policy... Chini ya Computer configuration utaiona Administrative templates...

Double click kisha nenda kwenye Windows components..

Double click kisha nenda kwenye windows updates kwa ku scroll chini

Double click kisha tafuta Configure Automatic Updates

Double click... Hapa sasa Dialog ya Configure Automatic Updates itafunguka...

Upande wako wa kushoto utaona tick ipo kwenye Not configured... Wewe Chagua enabled

Kisha shuka chini kwenye options utaona Automatic updating...

Kwa chini kidogo utaona pop up menu... Click hapo na chagua namba 2.Notify for Download and notify for install

Click Aplly and OK kisha restart mashine yako....

Hapo utakuwe umejinasua kutoka kwenye automatic updates...
 
Shukrani mkuu[emoji120] [emoji120]
 
Haya maelezo yako mkuu bado Yana faa kwa wakati huu nataka niyatumie
 
na wao kwao data sio tatizo wifi kila mahali kivumbi huku kwetu
hata huo duniani hakuna WIFI kila mahali... unatakiwa uwe na yako, ya kulipia, nyumbani kwako!

hata kwenye ma airport yao wanakwambia ingiza namba ya tiketi ya ndege upate WIFI dakika 30!
 
Kwa windows 10 huwezi kuzuia auto update bila kufika kwenye administrative templates....

Ni kweli kabisa wengi Ni wahanga wa kupoea kwa bundle... Nitafundindisha hapa kwa ufupi...

Kwenye keyboard yako bonyeza Windows button + R
Hapo utafungua Run comand dialog kisha utaandika (gpedit.msc) bila mabano kisha bonyeza Enter

Itafunguka kwenye Local Computer Policy... Chini ya Computer configuration utaiona Administrative templates...

Double click kisha nenda kwenye Windows components..

Double click kisha nenda kwenye windows updates kwa ku scroll chini

Double click kisha tafuta Configure Automatic Updates

Double click... Hapa sasa Dialog ya Configure Automatic Updates itafunguka...

Upande wako wa kushoto utaona tick ipo kwenye Not configured... Wewe Chagua enabled

Kisha shuka chini kwenye options utaona Automatic updating...

Kwa chini kidogo utaona pop up menu... Click hapo na chagua namba 2.Notify for Download and notify for install

Click Aplly and OK kisha restart mashine yako....

Hapo utakuwe umejinasua kutoka kwenye automatic updates...
Shukrani mkuu, ushauri wako nimeufuata na nimefanikiwa kutatua tatizo ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom