Window 7 maringo mengi

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Kwa muda wa miezi kama minne sasa nimekuwa natumia win 7 kutoka win xp.
Natafuta win xp nirudie jembe langu, maana hii win 7 inamadoido na mbwembwe nyingi lakini kwangu naiona nyanya sana, toka niiweke imecrash zaidi ya mara 10 na inabidi kurepair, inachagua sana software ukiinstall tu ina crash, kwa muonekano ipo powa ila xp inafaa zaidi.
hapa nilipp imegoma haifungui exe file lolote na imebadili icon za exe file.
Nasaka disc installation ya xp tafadhali
 
Fanya hv...right click file unalotaka kuopen...then jaribu comptatibility mode...then select winXP...na kwa kukusaidia tu,win7 ndo OS kiboko kwa sasa...na nimeitumia toka last year haina tabu wala nn,pia toa specs za cmptr yko may b haina specs za ku run win7.
 
naomba product key ya ms project 2003 standard!pse wana jf aliyonayo anisaidie
 
kweli window 7 ni kiboko haisumbui kabisaa.ms project 2003 ww unaitaji key za office 2003 ua angalia vizuri
 
Wakuu nimefanikiwa kupata cd ya xp pro, tatizo during installation process inanitaka niingize activation key (product key) mwenye nayo tafadhali msaada jamani
 
Wakuu nimefanikiwa kupata cd ya xp pro, tatizo during installation process inanitaka niingize activation key (product key) mwenye nayo tafadhali msaada jamani

Though una makeke mengi...haya bana....Chukua Hiyo.........V2C47-MK7JD-3R89F-D2KXW-VPK3J
 
Though una makeke mengi...haya bana....Chukua Hiyo.........V2C47-MK7JD-3R89F-D2KXW-VPK3J
Mkuu thanx a lot, but the key didn't work. mwenye kuwa nayo please nisaidieni
 
mdau mwenye win xp pro,kila software yenye kuitaji key basi ina key yake unique, hivyo tafuta cd nyingine ninayo moja lakini wewe location wapi?
 
Mkuu thanx a lot, but the key didn't work. mwenye kuwa nayo please nisaidieni

Mayu,
Nenda pale kwenye jukwaa la JF ENJOY THIS, nimeweka keys nyingi sana za Windows XP na Office yake.

By the way jaribu hizi
Windows XP Pro (Non Corporate)
DHBYD-R7FGC-82QXP-242TV-FJ8G7
8F2XC-GBTX2-D4VKF-4RQ42-YP2XQ

Windows XP Pro (Corporate)
GX7HH-RWP3M-MCWV-MXVPV-X9HYGJ
KXYW4-D28F7-8867F-32MD7-RPPCG

Hope zitakusaidia, ila usikae kimya, ulete feedback km zimekubali
Kazi njema
 
Wakubwa, mimi shida yangu nitapata wapi XP Pro inayoweza ku install kwenye laptop ambayo ilikuja na Vista, nataka kuachana na vista, ila CD za XP nilizonaza hazikubali ku install kwenye SATA hardware.

Thanks in advance.
 
nimetumia kuanzia windows 98, 2000,2003,vista na sasa windows 7, believe me W7, is the best of em all, kuanzia securiyt feature, graphics, very resistant to virus attack and is not prone to crash in case labda hardware za pc yako sio compatible na W7.
 

Mkuu ubarikiwe sana, nimefanikiwa sasa im OK.
 
Wakubwa, mimi shida yangu nitapata wapi XP Pro inayoweza ku install kwenye laptop ambayo ilikuja na Vista, nataka kuachana na vista, ila CD za XP nilizonaza hazikubali ku install kwenye SATA hardware.

Thanks in advance.

Mkuu laptop yako aina gani? mimi nina hp g5000 ilikuja na vista pia, nilipotaka kuinstall xp niliangaika sana, katika kugoogle sana nilipata solutio moja simple na nikafanikiwa kuinstall xp.

Zima pc yako kisha washa na bofya F10 kabla haijawaka itawaka ktk BIOS Setup Utility.
Nenda System Configaration, utaona SATA Native Support, inatakiwa kui disable hiyo sata native support.
Kisha save na exit.
Weka cd yoyote ya xp inakubali.
Nb: mpangilio huu ni wa hp g5000,,kama laptop yako ni aina nyingine angalia na utafuye hiyo SATA na uidisable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…