Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Kwa muda wa miezi kama minne sasa nimekuwa natumia win 7 kutoka win xp.
Natafuta win xp nirudie jembe langu, maana hii win 7 inamadoido na mbwembwe nyingi lakini kwangu naiona nyanya sana, toka niiweke imecrash zaidi ya mara 10 na inabidi kurepair, inachagua sana software ukiinstall tu ina crash, kwa muonekano ipo powa ila xp inafaa zaidi.
hapa nilipp imegoma haifungui exe file lolote na imebadili icon za exe file.
Nasaka disc installation ya xp tafadhali