Window gani nzuri kwa ajili ya fundi simu upande wa software?

Weka zote na linux Distro moja, mambo ya mediatek na baadhi ya soc za vichochoroni driver zao sio signed zinasumbua Win 10, unless una ujuzi wa kucheza nayo ku enable unsigned drivers.
 
Mimi natumia Ufi box
9616AC8B-4401-452C-A2A9-E0861DB1CCFA.jpeg
 
nimecheki online imekuwa developed kutumika kwenye windows 7 64bit, windows 10 utatumia pia, ila hivi vitu haviaminiki mkuu, bora dual boot.
Sawa mkuu tatizo la window 7 nikipig kwa pc kuna vitu vinagoma ku run kama idm na baadhi ya software afu pc ninayo moja tu
 
Ni desktop? kama desktop weka hdd tofauti kila hdd piga windows yake, kama laptop waweza fanya partition ukaweka kila sehemu os yake, sio lazima uwe na machine mbili.

idm kwanini ikatae windows 7? Issue ya hizi windows za zamani drivers mpaka uweke mwenyewe, tofauti na win 10 unatafuniwa kila kitu kipo.
 
Tumia Windows 7, usiweke Antivirus, ubaya wa Windows 10 ina Windows Security, kama una box cracked zitakuwa detected na Windows Security kama virus (false positive) na itakupa usumbufu kuzirejesha.

Pia Windows 7 inakubali drivers nyingi hata ambazo ni za kabla ya 2010. Hizi kwenye windows 10 zitashindwa kuendana na mahitaji ya windows 10 katika kurun programs na kuziinstall. Na kusababisha compatibility issues. (Baadhi ya drivers hazipokeagi updates kwa muda mrefu).
 
Mimi nina box kabisa
 
ni desktop? kama desktop weka hdd tofauti kila hdd piga windows yake, kama laptop waweza fanya partition ukaweka kila sehemu os yake, sio lazima uwe na machine mbili.

idm kwanini ikatae windows 7? issue ya hizi windows za zamani drivers mpaka uweke mwenyewe, tofauti na win 10 unatafuniwa kila kitu kipo.
Hata nikiweka driver napata usumbufu natumia Lenovo core i5 torrent pia haifanyi kazi ukifungua idm crack inagoma vlc pia inagoma
 
zote hizo zinafanya kazi win 7 mkuu, driver ulitoa wapi? chukua website ya lenovo ama niwekee model hapa nikupe link ya drivers zako zote.
Now nipo nyumbani kesho nikirudi ofisini nitakupa ukifungua inaandika zile 0x0000
 
zote hizo zinafanya kazi win 7 mkuu, driver ulitoa wapi? chukua website ya lenovo ama niwekee model hapa nikupe link ya drivers zako zote.
Na hilo swala window 7 kusumbua limeanza sasa nimeshatumia Aina kadhaa za window 7 lakini mambo ni ngumu
 
Back
Top Bottom