Window inakataa Kuinstall

Window inakataa Kuinstall

Chief-Mkwawa mkuu msaada tutani Hp chromebook yangu inaandika waiting for local session manager.. inatoa mwanga wa blue na zile options pekee za kuzima na internet bas... nimejaribu kureset nimeshindwa maana naona ni model mpya sijui... naomba msaada kuna lolote linaweza nisaidia natanguliza shukran zangu

window inatumia window 10 home
Ni HP Chromebook halafu ina windows?
 
Unaweza kuwa na Full model tuangalie online? Maana bila kujua Bootloader yake ni ngumu kujua unawekaje windows na os nyengine.
Mkuu shukran nimefanikiwa kupata mtu wa window... amenipigia... maana wengi walisema hawawezi kutatua.. ishu yangu
 
Back
Top Bottom