Vedasto Leopold
Member
- Aug 31, 2017
- 27
- 33
Tumia lite version kama hi hapa: Windows 10 LiteHabari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common.
Windows 7 kwa vile haiko supported tena maana yake haipati updates zozote so inaweza ikawa bora zaidi ila ndo hivyo pia bila updates maswala ya security yanakuwa sio mazuri.
Kuna huyu mdau Oprekin, kazi yake ni nzuri waweza mtembelea hapa:OS zote zinakula data siku hizi, updates za kila aina ambazo ni ngumu kuzizuia na wakati mwengine hata ukizima kama alivyoshauri hapo juu zinajiwasha zenyewe baada ya muda
https://oprekin.com/whats-new/
Shukrani kwa ushauri wa kitaalamu. Nimekuwa nikiwaza kuweka hiyo data limit kwenye pc, Ni software naweka au Kuna hiyo settingHili ni somo pana linaloitaji uelewa wa ndani kidogo wa pc ila nitaeleza kwa ufupi kwa win 10 and 11
Tofauti na win 7 Hizi windows zimetengenezwa kuwa online muda wote kujiupdate na kuapdate apps na faleatures mbalimbali
-nini kinakula data?
1. Windows update-windo inajiupdate na kuapdate apps and drivers
2. Delivery optimization
3. background intelligence transfer services
Jinsi ya kuzuia
A. Connect network halafu set network iwe metered connection
View attachment 3036662
B.ingia group policy editor zuia "configure automatic updates"
C. Ingia services zuia vitu vifuatavyo
1.windows update
2. Background intelligence transfer services
3.delivery optimization
4. Microsoft click to run service kama unatumia office
Mfano mimi nilivyozuia
View attachment 3036664
Kama ikikataa kufunga kwenye services ingia registry editor, funga kwa kuweka value ya 4.
View attachment 3036665
Windows 10 na 11 hazishibi mb hata uwe na terabyte zitatafuna tuu, pia uwe unafuatilia matumizi ya mb kujua nini kinakula mb
Pia set data limit kwenye simu au pc yako
Ngoja niifuatilieTumia lite version kama hi hapa: Windows 10 Lite
- Ingia kwenye hiyo thread usome zaidi.
Kama unahisi unaweza kutumia windows 7 tumia kwa maana ndio ambayo hata kwenye upadates za microsoft ilishatoka, tofauti na hapo upadate zinakuhusu kikubwa usiwe na bundle ndogo.
Sio haina updates nyingi, haina updates kabisa, kikubwa fanya installation ya drivers zinazotakiwa.Haina updates nyingi?
Kama pc yako ina uwezo mdogo tumia window 10 lite , mkuu Mwl.RCT amekuwekea link , kingine tumia browser ya Operamini na weka on Meta DataNaona wataalamu mko vizuri, Kuna wataalamu wengine wanashauri matumizi ya window 10 kwa 2GB Ram sio sawa, Ila kwa window 7 Ni sahihi. Hili nalo limekaaje wadau. Maana PC yangu Ni 2GB Ram au naweza kuiboost zaidi
Fanya network yako kuwa metered connectionHabari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11 mambo yakoje. Mara nyingi ninapochek kwenye task manager anayekula bando langu Ni "system" labda wadau tupeane maarifa. Shukrani
Sioni haja ya mtu kufunga updates. Usipofanya updates utashaangaa laptop yako inashindwa ku access baadhi ya vitu. Mfano nje ya PC, simu yangu sikufanya update wakati fulani wa baadhi ya app kama whatsapp, kilichotokea nilishindwa kudownload documents. Baada ya ku update kila kitu kikakaa sawa. Hivyo naamini hata kwenye PC usipofanya update ya OS unaweza ukashangaa unachindwa kuunganisha WiFi kwenye PC yako.Sio haina updates nyingi, haina updates kabisa, kikubwa fanya installation ya drivers zinazotakiwa.
Ukisema utumie windows 10 na 11 halafu ufunge updates baadae itaanza ku mis behave computer yako mara inakuwa slow sana n.k
Ni kweli mkuu, haina haja ya kufunga updates, na watengenezaji wa OS wamefanya hivyo makusudi ili kusudi ufanye update.Sioni haja ya mtu kufunga updates. Usipofanya updates utashaangaa laptop yako inashindwa ku access baadhi ya vitu. Mfano nje ya PC, simu yangu sikufanya update wakati fulani wa baadhi ya app kama whatsapp, kilichotokea nilishindwa kudownload documents. Baada ya ku update kila kitu kikakaa sawa. Hivyo naamini hata kwenye PC usipofanya update ya OS unaweza ukashangaa unachindwa kuunganisha WiFi kwenye PC yako.