Window isiyokula bando sana

Window isiyokula bando sana

Joined
Aug 31, 2017
Posts
27
Reaction score
33
Habari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11 mambo yakoje. Mara nyingi ninapochek kwenye task manager anayekula bando langu Ni "system" labda wadau tupeane maarifa. Shukrani
 
Hili ni somo pana linaloitaji uelewa wa ndani kidogo wa pc ila nitaeleza kwa ufupi kwa win 10 and 11
Tofauti na win 7 Hizi windows zimetengenezwa kuwa online muda wote kujiupdate na kuapdate apps na faleatures mbalimbali

-nini kinakula data?
1. Windows update-windo inajiupdate na kuapdate apps and drivers
 2. Delivery optimization
3. background intelligence transfer services
Jinsi ya kuzuia

A. Connect network halafu set network iwe metered connection
Screenshot (57)_041838.png

B.ingia group policy editor zuia "configure automatic updates"
C. Ingia services zuia vitu vifuatavyo
1.windows update
2. Background intelligence transfer services
3.delivery optimization
4. Microsoft click to run service kama unatumia office
Mfano mimi nilivyozuia
Screenshot (56)_041844.png

Kama ikikataa kufunga kwenye services ingia registry editor, funga kwa kuweka value ya 4.
Screenshot (55)_041841.png

Windows 10 na 11 hazishibi mb hata uwe na terabyte zitatafuna tuu, pia uwe unafuatilia matumizi ya mb kujua nini kinakula mb

Pia set data limit kwenye simu au pc yako
 
OS zote zinakula data siku hizi, updates za kila aina ambazo ni ngumu kuzizuia na wakati mwengine hata ukizima kama alivyoshauri hapo juu zinajiwasha zenyewe baada ya muda, Windows 7 kwa vile haiko supported tena maana yake haipati updates zozote so inaweza ikawa bora zaidi ila ndo hivyo pia bila updates maswala ya security yanakuwa sio mazuri. Pia usisahau sio OS tu, hata software unazotumia zina auto update kama Chrome na zengine update zinashuka automatically zinakula data.
 
Windows 7 kwa vile haiko supported tena maana yake haipati updates zozote so inaweza ikawa bora zaidi ila ndo hivyo pia bila updates maswala ya security yanakuwa sio mazuri.
OS zote zinakula data siku hizi, updates za kila aina ambazo ni ngumu kuzizuia na wakati mwengine hata ukizima kama alivyoshauri hapo juu zinajiwasha zenyewe baada ya muda
Kuna huyu mdau Oprekin, kazi yake ni nzuri waweza mtembelea hapa:
Code:
https://oprekin.com/whats-new/
1720511668242.png
 
Hili ni somo pana linaloitaji uelewa wa ndani kidogo wa pc ila nitaeleza kwa ufupi kwa win 10 and 11
Tofauti na win 7 Hizi windows zimetengenezwa kuwa online muda wote kujiupdate na kuapdate apps na faleatures mbalimbali

-nini kinakula data?
1. Windows update-windo inajiupdate na kuapdate apps and drivers
 2. Delivery optimization
3. background intelligence transfer services
Jinsi ya kuzuia

A. Connect network halafu set network iwe metered connection
View attachment 3036662
B.ingia group policy editor zuia "configure automatic updates"
C. Ingia services zuia vitu vifuatavyo
1.windows update
2. Background intelligence transfer services
3.delivery optimization
4. Microsoft click to run service kama unatumia office
Mfano mimi nilivyozuia
View attachment 3036664

Kama ikikataa kufunga kwenye services ingia registry editor, funga kwa kuweka value ya 4.
View attachment 3036665

Windows 10 na 11 hazishibi mb hata uwe na terabyte zitatafuna tuu, pia uwe unafuatilia matumizi ya mb kujua nini kinakula mb

Pia set data limit kwenye simu au pc yako
Shukrani kwa ushauri wa kitaalamu. Nimekuwa nikiwaza kuweka hiyo data limit kwenye pc, Ni software naweka au Kuna hiyo setting
 
Kama unahisi unaweza kutumia windows 7 tumia kwa maana ndio ambayo hata kwenye upadates za microsoft ilishatoka, tofauti na hapo upadate zinakuhusu kikubwa usiwe na bundle ndogo.
 
Naona wataalamu mko vizuri, Kuna wataalamu wengine wanashauri matumizi ya window 10 kwa 2GB Ram sio sawa, Ila kwa window 7 Ni sahihi. Hili nalo limekaaje wadau. Maana PC yangu Ni 2GB Ram au naweza kuiboost zaidi
 
Kama pc yako ina uwezo mdogo tumia window 10 lite , mkuu Mwl.RCT amekuwekea link , kingine tumia browser ya Operamini na weka on Meta Data
 
Habari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11 mambo yakoje. Mara nyingi ninapochek kwenye task manager anayekula bando langu Ni "system" labda wadau tupeane maarifa. Shukrani
Fanya network yako kuwa metered connection
 
Sio haina updates nyingi, haina updates kabisa, kikubwa fanya installation ya drivers zinazotakiwa.
Ukisema utumie windows 10 na 11 halafu ufunge updates baadae itaanza ku mis behave computer yako mara inakuwa slow sana n.k
Sioni haja ya mtu kufunga updates. Usipofanya updates utashaangaa laptop yako inashindwa ku access baadhi ya vitu. Mfano nje ya PC, simu yangu sikufanya update wakati fulani wa baadhi ya app kama whatsapp, kilichotokea nilishindwa kudownload documents. Baada ya ku update kila kitu kikakaa sawa. Hivyo naamini hata kwenye PC usipofanya update ya OS unaweza ukashangaa unachindwa kuunganisha WiFi kwenye PC yako.
 
Ni kweli mkuu, haina haja ya kufunga updates, na watengenezaji wa OS wamefanya hivyo makusudi ili kusudi ufanye update.
 
Back
Top Bottom