Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kwanini usiongeze hio ram? Specs nyengine zipoje?Naona wataalamu mko vizuri, Kuna wataalamu wengine wanashauri matumizi ya window 10 kwa 2GB Ram sio sawa, Ila kwa window 7 Ni sahihi. Hili nalo limekaaje wadau. Maana PC yangu Ni 2GB Ram au naweza kuiboost zaidi
Hapana sio software, smartphone ina sehemu ya kuweka data limit pia pc zinayo hiyo settings,Shukrani kwa ushauri wa kitaalamu. Nimekuwa nikiwaza kuweka hiyo data limit kwenye pc, Ni software naweka au Kuna hiyo setting
Hapana mkuu kwenye pc unaweza kufunga updates na ukaserereka, haina shida.Sioni haja ya mtu kufunga updates. Usipofanya updates utashaangaa laptop yako inashindwa ku access baadhi ya vitu. Mfano nje ya PC, simu yangu sikufanya update wakati fulani wa baadhi ya app kama whatsapp, kilichotokea nilishindwa kudownload documents. Baada ya ku update kila kitu kikakaa sawa. Hivyo naamini hata kwenye PC usipofanya update ya OS unaweza ukashangaa unachindwa kuunganisha WiFi kwenye PC yako.
Asilimia kubwa, karibu 99 ya updates ni junks hazina faida yoyote kwa matumizi ya kawaida,Ni kweli mkuu, haina haja ya kufunga updates, na watengenezaji wa OS wamefanya hivyo makusudi ili kusudi ufanye update.
Ubuntu nao wanakula tuu bora windows unaweza kufunga isile kabisaNjoo Ubuntu mkuu
Shida za hivi vitu Lite etc sio official so lazima umwamini kuwa hajaweka mauchafu mengine humoKuna huyu mdau Oprekin, kazi yake ni nzuri waweza mtembelea hapa:
View attachment 3037370Code:https://oprekin.com/whats-new/
Ubuntu kuna updates kila siku ila ni rahisi zaidi kuzikataa au kuzima kabisa ila kuna siku lazima ujichange ufanye update ikianza kuleta shida.Njoo Ubuntu mkuu
Mi naona unlimited bundle ndio mwokozi huwezi kulia bundleHabari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11 mambo yakoje. Mara nyingi ninapochek kwenye task manager anayekula bando langu Ni "system" labda wadau tupeane maarifa. Shukrani
Kweli mkuu Ila sasa tulio wengi unlimited bundle uwezo Bado mkuu. That's why tunaangalia namna ya kubalanceMi naona unlimited bundle ndio mwokozi huwezi kulia bundle