Window isiyokula bando sana

Window isiyokula bando sana

Naona wataalamu mko vizuri, Kuna wataalamu wengine wanashauri matumizi ya window 10 kwa 2GB Ram sio sawa, Ila kwa window 7 Ni sahihi. Hili nalo limekaaje wadau. Maana PC yangu Ni 2GB Ram au naweza kuiboost zaidi
Kwanini usiongeze hio ram? Specs nyengine zipoje?
 
Sioni haja ya mtu kufunga updates. Usipofanya updates utashaangaa laptop yako inashindwa ku access baadhi ya vitu. Mfano nje ya PC, simu yangu sikufanya update wakati fulani wa baadhi ya app kama whatsapp, kilichotokea nilishindwa kudownload documents. Baada ya ku update kila kitu kikakaa sawa. Hivyo naamini hata kwenye PC usipofanya update ya OS unaweza ukashangaa unachindwa kuunganisha WiFi kwenye PC yako.
Hapana mkuu kwenye pc unaweza kufunga updates na ukaserereka, haina shida.
 
Ni kweli mkuu, haina haja ya kufunga updates, na watengenezaji wa OS wamefanya hivyo makusudi ili kusudi ufanye update.
Asilimia kubwa, karibu 99 ya updates ni junks hazina faida yoyote kwa matumizi ya kawaida,
Apps nyingi za ms hazina kazi yoyote zaidi ya kufanya pc kuwa slow
Watengenezaji wana asume una unlimited internet na unahitaji up to date apps
 
Habari zenu wataalamu. Nimekuwa mtumiaji wa window 10 kwa muda mrefu sasa, changamoto ya kula bando sana imekuwa common. Labda wataalamu tushee mawazo kwa watumiaji wa version nyinginezo, 7, 8, 11 mambo yakoje. Mara nyingi ninapochek kwenye task manager anayekula bando langu Ni "system" labda wadau tupeane maarifa. Shukrani
Mi naona unlimited bundle ndio mwokozi huwezi kulia bundle
 
WEKA WI-FI ZA T¡G0 ZINA SPEED KUBWAA MNOO!
HUU SIO MDA TENA WA KUWAZA KUISHIWA NA DATA, ROUTER NI BEI NAFUU SANA!

⚫KWENYE BISASHARA YAKO WEKA WI-FI

⚫KWENYE SHULE WEKA WI-FI
⚫KANISANI WEKA WI-FI

⚫KAZINI WEKA WI-FI
⚫KWENYE KAMPUNI WEKA WI-FI

⚫NYUMBANI KWAKO WEWE NA FAMILIA YAKO WEKA WI-FI
⚫CHUONI WEKA WI-FI

⚫UNA SECURITY CAMERA FUNGA WI-FI

⚫SEHEM ZINGINE AMBAZO SIJAZITAJA WEKA WI-FI

TUMIA DATA UNLIMITED, YANI BILA KUWAZA KUA GB ZITAISHA?

NJOO NIKUPE ROUTER ZENYE UWEZO MKUBWA TECNOLOJIA YA 5G SPEED HADI 200mbps, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO !

MKOA WOWOTE ULIPO DELIVERY NI FREEE!!

GHARAMA NI NAFUU, SPEED KUBWAA (pia laini pekeyake bila router nakuwezeshea bando unlimited kwa bei poa)
NICHEKI: 0717700921
 
Mi natumia Program inayoitwa TinWall kubalance nnachotaka kutumia Internet.
 
Back
Top Bottom