Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #21
Open source software nyingi ni the best Nina zaidi ya miaka 2 natumia Ubuntu Linux sijui antivirus wala nini.Linux is the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Open source software nyingi ni the best Nina zaidi ya miaka 2 natumia Ubuntu Linux sijui antivirus wala nini.Linux is the best
TechnologyLinus, mata breda, ohhh pisi....😶
What's going on here...🤔
Ohhhh....Technology
Kwanini sio nzuri? Wakati unaweza Run side to side program za Linux na Windows? WSL ina support hadi custom Distro na kurun GUI programs.Hiyo sema sio nzuri ni vyema ufanye dual booting kwenye USB drive
Amna shida babaOhhhh....
I'm too yesterday then...😊
Ngoja niwapishe vijana mjivinjari tafadhali....🤗
-Storage and partitioning issuesKwanini sio nzuri? Wakati unaweza Run side to side program za Linux na Windows? WSL ina support hadi custom Distro na kurun GUI programs.
Kasome Windows subsystem for Linux ni nini, maana kuna vitu hapa hata havieleweki. Hio ni virtualization it has nothing to do with bootloader, compability na mambo mengine ulioandika.-Storage and partitioning issues
-Performance
-Bootloader issue
-Compatibility issue
-Security risk(OS moja ukiwa infected ni rahisi kuvuruga mfumo mzima ikiwemo OS nyingine)
-Software update conflict (OS update inaweza kuharibu booting na ikarequire manual fix)
-Storage & disk management (Storage inapungua)
-Bootloader & system conflict (Window update inaweza ku break Linux boot)
-Software & driver compatibility (Other drivers may not work of the OSes)
Kweli kabisa mkuuLinux is the best hakun Os itakayo izidi
Mkuu kama ume choose Linux choose Linux mambo ya dual booting, virtual machine achana nayo use one OS on your computerKasome Windows subsystem for Linux ni nini, maana kuna vitu hapa hata havieleweki. Hio ni virtualization it has nothing to do with bootloader, compability na mambo mengine ulioandika.
Umesoma Operating System??Kasome Windows subsystem for Linux ni nini, maana kuna vitu hapa hata havieleweki. Hio ni virtualization it has nothing to do with bootloader, compability na mambo mengine ulioandika.
Lakini haiuna linux subsystem for windows mimi ni primary user wa linux ndio maana nimesema huwezi run windows without VM kwenye linux which ni uchafu au dual bootSio dual boot per se, inaitwa windows subsystem for Linux, ipo store windows, ipo pia windows subsystem for Android.
Kwa Linux kuna translators, ambazo zina translate api za Windows kwenda Linux.Lakini haiuna linux subsystem for windows mimi ni primary user wa linux ndio maana nimesema huwezi run windows without VM kwenye linux which ni uchafu au dual boot
Yeah tunawaambia hapaLakini haiuna linux subsystem for windows mimi ni primary user wa linux ndio maana nimesema huwezi run windows without VM kwenye linux which ni uchafu au dual boot
Kwanini uhangaike hivyo? Install windows tu ucheze nayo, kwa sisi tusio na mambo mengi hatuna haja ya translation layerKwa Linux kuna translators, ambazo zina translate api za Windows kwenda Linux.
Binafsi natumia sana Bazzite ambayo ni Distro inayo imitate steam deck, inatumia Proton (some modification ya wine) unarun games karibia zote ambazo hazina Kernel level anti cheat, kuna baadhi ya programs hazifanyi kazi ila nyingi zinafanya.
Sababu hujatumia, na wala huhangaiki kila kitu ni pre installed, una install game kama unavyo install kwenye windows,Kwanini uhangaike hivyo? Install windows tu ucheze nayo, kwa sisi tusio na mambo mengi hatuna haja ya translation layer
Tenga PC ya gaming na mambo binafsi for gaming, typing, editing......I recommend window but for other activities Linux is the bestKwanini uhangaike hivyo? Install windows tu ucheze nayo, kwa sisi tusio na mambo mengi hatuna haja ya translation layer
Siku hizi linux ina windows na windows ina linux, cha muhimu tafuta tu pc nzuri ya kisasa yenye ram ya kutosha uta enjoy zote kwenye os moja.
Ndio umeambiwa kama huna RAM za kutosha haikuhusuNiuchafu kurun double boot au kwenye virtual machine kama sio testing purposes
Umeongea ujingaNdio umeambiwa kama huna RAM za kutosha haikuhusu
Usitegemee ki laptop cha 4 RAM kifanye hivyo
Natumia parrot securty ni safi sanaOpen source software nyingi ni the best Nina zaidi ya miaka 2 natumia Ubuntu Linux sijui antivirus wala nini.