Winga APP business idea!

Winga APP business idea!

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
Habari wataalam!.
Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila kutapeliwa na winga . Hii itasaidia wafanyabiashara wengi kupunguza gharama ya kuja Dar kununua bidhaa kariakoo.

How Its works?

Winga anajisajili kwenye app(android /iOS) na kufanya verifications ili aweze kupost bidhaa anazo uza kutoka kwenye soko la karikaoo. Hii verifiaction process itahusisha NIDA ID na facial recognition ili awe verify with badge kama twitter(X). Pia winga anaweza kulipia tangazo la bidhaa zake ili zionekane miongoni mwa winga wengi ili aweze kuuza kirahisi zaidi. Finally kutakuwa na escrow system within ili kuzuia utapeli au udanganyifu kwa mteja au muuzaji wa bidhaa.

Winga app itakuwa na tracking id ya mzigo husika aliyenunua kupitia app.

In short inakuwa kama kupatana ila inakuwa na escrow system ili kulinda wateja na wauzaji wasiweze kutapeliwa.

Kila winga ili apost tangazo lake la biashara lazima alipie ADA ya UANACHAMA kwa mwezi au kwa mwaka , pia mteja atakatwa 1%/2% kwa kila transaction anayofanya kama malipo ya bidhaa kwa winga husika.

Kwa app hii ya WINGA itasaidia kutatua gharama kwa wafanyabiashara wa mkoani na nje ya TZ , mathalan na wa dar pia. Pia itasaidia vijana wengi kujiajiri kwa kuuza bidhaa za karikoo au kuwa WINGA.

*************************************************************

Ili kufanikisha hii APP inahitaji mkwanja mrefu approx 10M, kila details ipo tayari kilichobaki ni pesa ya kuanza kazi ya development na deplyoment.

KARIBU MWEKEZAJI.
 
Tatizo la winga hataki kujulikana kama ni winga, ila verification process ni idea nzuri hasa kwetu ambapo idadi ya matapeli na Mawinga inalingana.
 
Tatizo la winga hataki kujulikana kama ni winga, ila verification process ni idea nzuri hasa kwetu ambapo idadi ya matapeli na Mawinga inalingana.
Mkuu kwema. Kuna external hard disc natumia ikaanguka ikapasuka cover .kwa sehemu ya Tanga mjini nitapata wapi hizi Cover Nina week natafuta wanasema hamna msaada plz
 
Mkuu kwema. Kuna external hard disc natumia ikaanguka ikapasuka cover .kwa sehemu ya Tanga mjini nitapata wapi hizi Cover Nina week natafuta wanasema hamna msaada plz
Cover zipo nyingi mkuu kuanzia 7000 unapata, sema kama unataka zuri lenye speed tafuta lenye usb 3.0 yanakua ni zaidi ya 10,000 mpaka 30,000.

Maduka ya Computer mkwakwani kule utapata, ama Mjini stendi ya zamani maduka ya wachaga
 
Back
Top Bottom