Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kuna watu mnamoya bado kabisa mnajiaminisha kuna ushindi kwa simba kweli kabisa.?Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza.
Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
Nikiwaambia huyu ni mburula muwe mnanielewa.Hapo kwa Kramo umedanganya
Hadi taarifa ya jana Kramo anafanya mazoezi ya peke yakeNikiwaambia huyu ni mburula muwe mnanielewa.
Anacheza mechi za kimataifaUna uhakika huyo Kramo amesajiliwa na Simba msimu huu?
Kaangalie vizuri chanzo chako cha taarifa,Kramo hakusajiliwa bali wamempa muda wa kuwa fit kujisikilizia kwa ajili ya msimu ujao hivyo jina lake liliondolewaAnacheza mechi za kimataifa
Mimi nashauri baada ya Kramo kutupia goli za kutosha siku hiyo, basi tuubadili jina ule uwanja wa Bunju uitwe Kramo Arena! Badala ya Mo Arena.Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza.
Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
Nakubaliana na wewe mjumbeeee.Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza.
Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
Kramo sio krano,acha kurukia rukia mada kama panzi.KRANO YUPI????????????
ZIMO KWELI WEWE??????!!!!!!!!!!
JF Inazidi kupoteza Mvuto kwa kuwa na aina hii ya members.
Kramo sio krano,acha kurukia rukia mada kama panzi.