Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Chama hatocheza
wacha kushiba kabla chakula hakijaivaMpira sio mchezo wa kificho, winga Micquison, winga Onana, chini fabrice ngoma, juu chama, tisa Baleke au Chilunda, kumi Saido, kama mpira una uchawi sawa lakini kosi hili kesho mtatoa t hakuna namna.
Ana adhabu ya mechi tatu.Kwa nin asicheze
UsijaliIcho kikosi cha mauwaji labda angekua Mgunda,ila huyu Chiba miminamuona kama anapuyanga,na ana masiku machache sana kubeba mabegi.
Angekua mjanja angefua kabisa boxer zake akakunja vizuuri na nguo zake kwenye begi😂😅Usijali
Kesho tutawasaidia kumkatia tiketi
kwani yanga haina wachezaji?Mpira sio mchezo wa kificho, winga Micquison, winga Onana, chini fabrice ngoma, juu chama, tisa Baleke au Chilunda, kumi Saido, kama mpira una uchawi sawa lakini kosi hili kesho mtatoa t hakuna namna.
Sio kweli, Chama amemaliza adhabu ya mechi 3. Bàada ya Ruvu Simba ilicheza mechi mbili NBC league, tarehe 6 June Police na Tarehe 9 June Coastal Union. Kamalizia adhabu mechi ya Singida juzi.Ana adhabu ya mechi tatu.
Mechi ya kesho ndio anamalizia adhabu
Nimerudia kumbukumbu zangu ni kweli upo sahihi wakati adhabu inatolewa kulikuwa na mechi mbili zilizokuwa zimesalia kukamilisha ligi.Sio kweli, Chama amemaliza adhabu ya mechi 3. Bàada ya Ruvu Simba ilicheza mechi mbili NBC league, tarehe 6 June Police na Tarehe 9 June Coastal Union. Kamalizia adhabu mechi ya Singida juzi.
Kwaiyo kesho atacheza? Maana hatutaki visingizioNimerudia kumbukumbu zangu ni kweli upo sahihi wakati adhabu inatolewa kulikuwa na mechi mbili zilizokuwa zimesalia kukamilisha ligi.
Kwani mi Robertinho?