Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mpira sio mchezo wa kificho, winga Micquison, winga Onana, chini fabrice ngoma, juu chama, tisa Baleke au Chilunda, kumi Saido, kama mpira una uchawi sawa lakini kosi hili kesho mtatoa t hakuna namna.