Winga wa Kariakoo pitia hapa kuna mchongo pesa!

Just watching...
 
Attachments

  • Screenshot_2023-07-14_110639.jpg
    Screenshot_2023-07-14_110639.jpg
    71.3 KB · Views: 34
  • Screenshot_2023-07-14_110457.jpg
    Screenshot_2023-07-14_110457.jpg
    80.7 KB · Views: 35
Yes boss tuko fully documented karibu sana
Nitajitaidi nije kwa ofisin yenu nijilizishe maana nimepata wazo la partnership na kampuni ya usafirishaji ili wateja wawe wanaseleleka mikoani.
 
Hii idea imenyooka

Kwa maoni :
Gharama za website hapo ndo naona kidogo zinasoma kilomita , 100K inatosha kufugua website

Watu 20 au 10 Kila mmoja angechangia ya kuanzia 20K pamoja na kulipia mabango/ads then baada ya mwezi kama mwanga utaoneka ndo vibunda viongezwe kuchukua Ofisi

Ni mtazamo tu
Ushauri mzuri sana budaa, nimeuchukua bila kupinga.

Kuna member hapa JF kaonesha interest ya cover gharama ya development kwaiyo mawainga kama hawatatoa hata 10 siku za uson.

Kwaiyo mawinga msirudi nyuma mje namba hiyo hapo ila make sure una machimbo kama 10k 🤭🤭🤭🤭🤭. 10 bhana utam mazee
 
Hii idea imenyooka

Kwa maoni :
Gharama za website hapo ndo naona kidogo zinasoma kilomita , 100K inatosha kufugua website

Watu 20 au 10 Kila mmoja angechangia ya kuanzia 20K pamoja na kulipia mabango/ads then baada ya mwezi kama mwanga utaoneka ndo vibunda viongezwe kuchukua Ofisi

Ni mtazamo tu

Hii idea imenyooka

Kwa maoni :
Gharama za website hapo ndo naona kidogo zinasoma kilomita , 100K inatosha kufugua website

Watu 20 au 10 Kila mmoja angechangia ya kuanzia 20K pamoja na kulipia mabango/ads then baada ya mwezi kama mwanga utaoneka ndo vibunda viongezwe kuchukua Ofisi

Ni mtazamo tu

Labda nitoa mchanganuo kwanini kila winga 100k?

Winga 20 ni sawa 2M.

Hapa nililenga :

1. BUSINESS NAME REGISTRATION
2. Lesen
3. TRA
4. Ofisi(kukodi fremu 📌)
5. Development(Hapa panakula pesa ndefu sana).

100k kwa website iwe labda blog na inaweza isitoshe cause wordpress theme pekeyake ni $59. Hosting & Domain kwa mwaka ni 250k hii ni basic plan.

Kwa mfumo ambao tunataka tu develop utatumia sana video clip na sio picha ili ku motivate buyers for that reason hosting lazima iwe gharama kwasababu ya video. Unaweza anza na hosting ya $5/8 kwa mwezi.

Just a summary budaa. Na hii sijakaa chini kupiga hesabu kwa uwalisia inaweza 2m isitoshe ambayo wewe unaiona bwaku. Bado sijaweka budget ya marketing kwenye social media 😥. Uku sijaweka budget yake kozi I know how to boost free using facebook sponsor ads.

Ni hayo tu nilitaka ujue usije ukaniona mpigaji.

"I'm not a demons or anything. I'm just doing my job".
 
Labda nitoa mchanganuo kwanini kila winga 100k?

Winga 20 ni sawa 2M.

Hapa nililenga :

1. BUSINESS NAME REGISTRATION
2. Lesen
3. TRA
4. Ofisi(kukodi fremu [emoji419])
5. Development(Hapa panakula pesa ndefu sana).

100k kwa website iwe labda blog na inaweza isitoshe cause wordpress theme pekeyake ni $59. Hosting & Domain kwa mwaka ni 250k hii ni basic plan.

Kwa mfumo ambao tunataka tu develop utatumia sana video clip na sio picha ili ku motivate buyers for that reason hosting lazima iwe gharama kwasababu ya video. Unaweza anza na hosting ya $5/8 kwa mwezi.

Just a summary budaa. Na hii sijakaa chini kupiga hesabu kwa uwalisia inaweza 2m isitoshe ambayo wewe unaiona bwaku. Bado sijaweka budget ya marketing kwenye social media [emoji26]. Uku sijaweka budget yake kozi I know how to boost free using facebook sponsor ads.

Wazo zuri ila swala la TRA , and bla bla .... ziwe za mwisho wakati tumesha settle kuna mtu ataniuliza bila ofisi itakuwaje .... remember ni online business
 
Hii idea imenyooka

Kwa maoni :
Gharama za website hapo ndo naona kidogo zinasoma kilomita , 100K inatosha kufugua website

Watu 20 au 10 Kila mmoja angechangia ya kuanzia 20K pamoja na kulipia mabango/ads then baada ya mwezi kama mwanga utaoneka ndo vibunda viongezwe kuchukua Ofisi

Ni mtazamo tu
Website kama hii itakuwa na traffic zaidi ya JF, kwa hiyo investment yake sio ya kitoto. Kwa hiyo gharama za website na uendeshaji unahitaji mchakato wa kina.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Wazo zuri ila swala la TRA , and bla bla .... ziwe za mwisho wakati tumesha settle kuna mtu ataniuliza bila ofisi itakuwaje .... remember ni online business
Ishu ni kwamba makampuni ya simu hayawezi fanya kazi na individuals ambaye hana leseni wala TIN na brela certificate. Niliwai kufanya kazi na tigo i know budaa.

Kinyume na hayo mfumo utakuwa manually kitu ambacho kitaboa wateja ambao wamelipia pesa usiku ukiwa umelala wakati wao wanasubili activation ya muamala aweze kupata namba ya chimbo.

Hapa patakuwa bagumu sana budda. Kufikiria TRA sio kama nimependa lakini lazima tupite uko ili maisha ya watumiaj yawe mapesi.

Labda kama una API ya mitandao ya simu umetengeneza unaweza kwepa hizo procedure above. 🦔

"I'm not a demons or anything. I'm just doing my jobs".
 
Labda nitoa mchanganuo kwanini kila winga 100k?

Winga 20 ni sawa 2M.

Hapa nililenga :

1. BUSINESS NAME REGISTRATION
2. Lesen
3. TRA
4. Ofisi(kukodi fremu [emoji419])
5. Development(Hapa panakula pesa ndefu sana).

100k kwa website iwe labda blog na inaweza isitoshe cause wordpress theme pekeyake ni $59. Hosting & Domain kwa mwaka ni 250k hii ni basic plan.

Kwa mfumo ambao tunataka tu develop utatumia sana video clip na sio picha ili ku motivate buyers for that reason hosting lazima iwe gharama kwasababu ya video. Unaweza anza na hosting ya $5/8 kwa mwezi.

Just a summary budaa. Na hii sijakaa chini kupiga hesabu kwa uwalisia inaweza 2m isitoshe ambayo wewe unaiona bwaku. Bado sijaweka budget ya marketing kwenye social media [emoji26]. Uku sijaweka budget yake kozi I know how to boost free using facebook sponsor ads.

Ni hayo tu nilitaka ujue usije ukaniona mpigaji.

"I'm not a demons or anything. I'm just doing my job".
5m bro. Security na speed muhimu. Content development muhimu zaidi. Marketing, multilingual nature na continuous innovation

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ishu ni kwamba makampuni ya simu hayawezi fanya kazi na individuals ambaye hana leseni wala TIN na brela certificate. Niliwai kufanya kazi na tigo i know budaa.

Kinyume na hayo mfumo utakuwa manually kitu ambacho kitaboa wateja ambao wamelipia pesa usiku ukiwa umelala wakati wao wanasubili activation ya muamala aweze kupata namba ya chimbo.

Hapa patakuwa bagumu sana budda. Kufikiria TRA sio kama nimependa lakini lazima tupite uko ili maisha ya watumiaj yawe mapesi.

Labda kama una API ya mitandao ya simu umetengeneza unaweza kwepa hizo procedure above. [emoji3071]

"I'm not a demons or anything. I'm just doing my jobs".
Tutatumia API ambayo inainvolve simu na benki zote nchini. Push STK, malipo ndani ndani

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
5m bro. Security na speed muhimu. Content development muhimu zaidi. Marketing, multilingual nature na continuous innovation

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Nikili kusema wewe ni mtaalam unaelewa vyema haya mambo. Nahitaji watu kama wewe tufanya vitu vinavyonekana .

Nimependa maono yako budaa.
Tutatumia API ambayo inainvolve simu na benki zote nchini. Push STK, malipo ndani ndani

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
PUSH 🔥🔥🔥. Hii njia ni nzuri sana na ni rahisi kutumia kwa wateja wa level yoyote ya elimu. Hii njia inatumia kwenye app ya SARAFU. Easy way to make payment.

Nimefurahi sana kusikia hivyo budda.
 
Karibu kwa Lewis MVincent upate huduma zifuatazo kila siku:

📌Nakununulia,nakufungia na kukusafirishia bidhaa kutoka kariakoo kwenda mitaa yote ndani ya Dar es salaam na mikoa yote Tanzania.Huduma hii unaipata kwa tsh 10000/= tu.

📌Nakutafutia bidhaa pamoja na bei zake za jumla na reja reja ndani ya soko la kariakoo.Huduma hii unaipata kwa tsh 2000/= tu.

📌Nakutafutia basi au lori zuri pamoja na gharama zao kwaajili ya kusafirisha bidhaa zako kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania kwa uharaka na usalama zaidi.Huduma hii unaipata kwa tsh 5000/= tu.

AGIZA BIDHAA KAMA:
-Simu aina zote
-vifaa vya simu aina zote mfano: chaji,covers,protectors.
-Vifaa vyote vya kieletronic kama TV,SABUFA,SPEAKER,FRIJI,HEATER nk
-Vyombo vya ndani aina zote
-Nguo za kiume za watu wazima aina zote
-Nguo za kike za watu wazima aina zote
-Nguo za watoto aina zote
-Nguo za ndani aina zote mfano chupi,sidiria,boksa nk
-Urembo aina zote kama heleni,bangiri,kacha,saa nk
-Vipodozi na mawigi
-Vifaa vya stationary aina zote.
-Vifaa vya ushonaji aina zote kama cherehani,vitambaa,vitenge,sindano,nyuzi nk
-Material ya furniture aina zote.
-Vijora
-Mitumba aina zote
-CD na Movies kwa wale ote wenye library
-Hardware na Vifaa aina zote vya ujenzi.
-Spea za pikipiki na bajaji
-Baiskeli aina zote
-Betri na matairi aina zote
-Mashine za bekari
-Vifaa na material ya keki aina zote.
-Mapazia na mashuka aina zote.
-Mabegi,pochi na mikoba aina zote
-Viatu aina zote
-Na bidhaa zinginezo ambazo sijataja hapa.

MAWASILIANO: 0745645035 (PIGA/SMS/WHATSAPP).

KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZA UHAKIKA KILA SIKU MASAA 24.

UAMINIFU NI MTAJI,OKOA MUDA NA GHARAMA ZA NAULI KWA KUNIAGIZA MIMI BIDHAA AINA ZOTE KUTOKA KARIAKOO KWENDA MITAA YOTE NDANI YA DAR ES SALAAM NA MIKOA YOTE TANZANIA KILA SIKU.

Haya mtoa mada chukua kitabu hicho chini hapo kina machimbo karibu yote👇👇👇
 
Hapa utataka pesa ngapi ili utupe details za wauzaji wa machimbo yote uliyolist hapo juu. Yawe legit if possible.

Ova.
 
Back
Top Bottom