Wingi wa kura za Diamond zasababisha kupotea hewani kwa mtandao wa NEA AWARDS

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
2,790
Reaction score
3,263
Binafsi sijawahi kusikia inshu hii ya website-kupotea kisa wingi wa kura anazopigiwa msanii, Kitendo hichi kimetokea Leo baada ya website ya NEA AWARDS kupotea hewani kutokana na wingi wa kura anazopigiwa Diamond Platnumz, Hii inaonyesha nguvu kubwa sana aliyonayo Diamond Platnumz hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Mtandao wa NEA umewataka radhi wote kwa kitendo hiki.
 
Napenda nitoe holla5 kwa wale fans damdam milele wa Dmond..keep it Up tuushow ulimwengu wot we are capabo of as Tanzanians..!!
 
Mungu amjaalie Diamond afike mbali kama Michael Jackson RIP
Naquote kutoka Vanessa:Kila kitu majaliwa kupata amebalikiwaga..so njia ishakuwaga nyeupe kwake toka underground then upcoming nw superstaaa..?!
 

Sorry mkuu.Hizo ni kura za( kuhusu)nin?
 
Hao anaoshindana nao sijui wapo katika hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…