Wingi wa kura za Diamond zasababisha kupotea hewani kwa mtandao wa NEA AWARDS

Wingi wa kura za Diamond zasababisha kupotea hewani kwa mtandao wa NEA AWARDS

Hata mimi niliingia web yao nikakutana na kitu hicho nikabaki nashindwa kushangaa
 
itakuwa baada ya ile posti insta jana

Oyaaa tuendelee kuvoti maana kura ni muhimu tukiacha tutajikuta tumerudi nyuma.

kuna tuzo kama sehemu tatu hivi au zaidi cheki uzi wa Diamond link zimo mule

au sechi

nea awards

african entertainment awards

afrimma
 
Safi sana Diamond. Kijana ameweza kuepukana na mengi na kuweza kufikisha ndoto zake beyond measures. Tuko pamoja Daimond tutavote mpaka basi. An inspirational
 
Back
Top Bottom