Hata wew ni great thinker???
Kwani amekwambia ye ni Great thinker?
Halafu Magreat thinker si wana jukwaa lao?
Kwani amekwambia ye ni Great thinker?
Naona umeamuwa uwe msemaji wake.
Roho mkononi....Hao anaoshindana nao sijui wapo katika hali gani?
Yaani kama picha limeshaanza na starring ameshajulikana....?!duh hii sasa noma
Usishangaaae cha msingi mtafuteni afu msindikizeni aende kwa greats wenzake..?!Shangaa!
Vizuri!! Ila kumbuka hata wewe unaweza kuwafanya Kuwa at work!!so piga magoti usali ama umpelekee mganga kuku na UDI usije kutolewa kafaraaah.....Freemasonry at work