siku nyingi nilikua sijatembelea 'engo' hizi leo nimeingia kabla sijasoma chochote naona kama nyuzi saba za wanawake wanaotafuta waume, najiuliza siku hizi wanaume hatuoi au wanawake wamekua wengi mpaka hatuwezi tena kuwamudu? au huenda wimbi la wasiojulikana limeongezeka wanazidi kuongeza mitego ili kunasa watu??
najaribu kutafakari tu wakuu.
muwe na weekend njema