Wingi wa mabandiko ya wanaotafuta waume

Wingi wa mabandiko ya wanaotafuta waume

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
4,303
Reaction score
7,629
siku nyingi nilikua sijatembelea 'engo' hizi leo nimeingia kabla sijasoma chochote naona kama nyuzi saba za wanawake wanaotafuta waume, najiuliza siku hizi wanaume hatuoi au wanawake wamekua wengi mpaka hatuwezi tena kuwamudu? au huenda wimbi la wasiojulikana limeongezeka wanazidi kuongeza mitego ili kunasa watu??

najaribu kutafakari tu wakuu.
muwe na weekend njema
 
Mkuu kua mvumilivu watu wana mahitaji yao.
Siku nyingine ukipita huku pita kimyakimya.
 
Mkuu kua mvumilivu watu wana mahitaji yao.
Siku nyingine ukipita huku pita kimyakimya.
nimepita kimya nikawaonea huruma sana i wish nioe wanne


IMG_20180215_121735.jpg
 
Back
Top Bottom