Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini.
Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa.
Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries.
Anzia jirani pale kanisani pale covenant ni mfululizo wa vioski vya mhuri wa wakili katika matangazo!
Hivi kule hakuna chapter leaders waongoze hio vita na kupaweka sawa pale ili kulinda taaluma yetu adhimu. Naomba uongozi wa juu tls uingilie kati kama chapter husika imeshindwa kazi