Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Maokoto mjomba. Acha makasiriko. Sana Sana unajidhalilisha wewe mwenyewe mtoa mada Kwa kufuatilia nishu za watu.Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini.
Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa.
Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries.
Anzia jirani pale kanisani pale covenant ni mfululizo wa vioski vya mhuri wa wakili katika matangazo!
Hivi kule hakuna chapter leaders waongoze hio vita na kupaweka sawa pale ili kulinda taaluma yetu adhimu. Naomba uongozi wa juu tls uingilie kati kama chapter husika imeshindwa kazi
Unaumia nn mtu akiweka bango. Hizo ndio zinalipa bills acha shoboZamani mawakili walikuwa wanaoweka ka bango kadoogo kuonyesha ofisi zao zilipo ila siku hizi duu bonge la bango
Na wewe pia kishoka au wakili? Maana nilishangaa ulipoandika thread kwa herufi kubwa.Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini.
Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa.
Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries.
Anzia jirani pale kanisani pale covenant ni mfululizo wa vioski vya mhuri wa wakili katika matangazo!
Hivi kule hakuna chapter leaders waongoze hio vita na kupaweka sawa pale ili kulinda taaluma yetu adhimu. Naomba uongozi wa juu tls uingilie kati kama chapter husika imeshindwa kazi
Kishoka atoke wapi wakati mihuri mipya yote ina bar code?Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini.
Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa.
Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries.
Anzia jirani pale kanisani pale covenant ni mfululizo wa vioski vya mhuri wa wakili katika matangazo!
Hivi kule hakuna chapter leaders waongoze hio vita na kupaweka sawa pale ili kulinda taaluma yetu adhimu. Naomba uongozi wa juu tls uingilie kati kama chapter husika imeshindwa kazi
Boss wahusika wanajua mfumo wa matangazo ya uwakili na matibabu unatikiwa uwejeUnaumia nn mtu akiweka bango. Hizo ndio zinalipa bills acha shobo
Kama hujitangazi watu watajuaje huduma uzitoazo?Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini.