Toka zoezi la uchukuaji fomu lianze jana Juni 28, 2025 imeonekana idadi kubwa ya wafanyabiashara vijana kwa wazee wameonesha nia ya kutaka ubunge kupitia CCM.
Kidemokrasia ni haki yao na afya pia kuonesha chama hiki kinaungwa mkono na makundi mbalimbali lakini hofu yangu isije ukawa mkakati kuelekea uchaguzi wa urais 2030 sababu vijana wengi wanamtaja moja ya mwana mkakati wa mwanasiasa mmoja kuelekea 2030.
CCM iwe macho kama kawaida yake pamoja na vyombo vyetu vya dola mkakati huo udhibitiwe mapema usijeleta athari.