Dah huyu hakufaa hata kua balozi wa nyumba 10 aseeKwa hii go ahead hata mimi natamani kujichomeka mahali ili "nijipimie"
View attachment 3387787
Hao wnafata pesa kwanza .Ccm ni kichaka cha wakwepa kodi, inatafutwa cover tu hapo!
Ukiona mwananchi masikini (ambao ndio % kubwa nchini) anashabikia ccm juwa huyo tatizo lake kubwa ni UJINGA...muonee huruma kwa kumpa elimu, ila kwakuwa ni mjinga kazi yako itakuwa ngumu mnoo inataka uvumilivu!
Kabariki wale ila kwa urefu wa kamba zaoKwa hii go ahead hata mimi natamani kujichomeka mahali ili "nijipimie"
View attachment 3387787
Yeah wasivimbiwe, wajipimie.....Kabariki wale ila kwa urefu wa kamba zao
Ova