Wingi wa watu na uzito wa sauti zinazomtetea Mbowe zinamfananisha na Baraba wa kwenye Biblia

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.

8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake. 9Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” 10Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.

11Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.
 
We unahisi wale mashahidi wa uongo walikuwa upande Baraba au Yesu?

Halafu angalia hao mashahidi wote wanatokea upande gani?

Yaani Polisi watuhumu, polisi wakamate, polisi waandae mashtaka polisi waishtaki halafu polisi hao hao ndo mashahidi. Bado umefumba akili yako tu?

Cheza na vyote lakini usicheze na neno la Mungu. Mungu sio mwanadamu.
 
Hahahahahaaaaaaaa!

Akili zinazotokana na ulaji mwingi wa kababu bwana!!!!!
 
Kwa hiyo ataachiwa kama Baraba?
 
WEWE ni nani kwenye kesi ya Mbowe?
 
Usiogope neno la Mungu bali muogope Mungu mwenyewe na yupo na ajua Mbowe ni Gaidi
 
Yaani ni upuuzi mtupu
 
Usiogope neno la Mungu bali muogope Mungu mwenyewe na yupo na ajua Mbowe ni Gaidi
Natamani nikuulize na weww hilo swali ila sasa hunijui na sikujui. So ni kupotezeana muda tu.
Mimi nitakujibu- mie siyo
  1. jaji
  2. polisi
  3. wanasheria wa serikali
  4. shahidi
  5. wakili wa utetezi
  6. Mmbeya Prof Jay
  7. mshitakiwa
  8. magereza
  9. mripoti mwenendo wa kesi
 
Usiogope neno la Mungu bali muogope Mungu mwenyewe na yupo na ajua Mbowe ni Gaidi

Mimi nitakujibu- mie siyo
  1. jaji
  2. polisi
  3. wanasheria wa serikali
  4. shahidi
  5. wakili wa utetezi
  6. Mmbeya Prof Jay
  7. mshitakiwa
  8. magereza
  9. mripoti mwenendo wa kesi
Kama sio mbea unaweza kuwa kiherehere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…