klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Kuna siku namimi nitajifanya mkongo pale au mmasai kamanda nifungue kaofisi, halaf ole wake akatize Lizzy au Husninyo, hakyababu watajuta kugoma kujibu PM zangu.Mi nilimpeleka shemeji yako kwa wamasai pale ilala baada ya kuona mazingira nikatoa laki asukwe na mademu we acha tu.
Nilienda saloon ya kike nikaona mama mmoja akifanyiwa pedicure eti ina massage hadi kwenye pichu nikasema hapa wangu haji nitampeleka kwa kina dada Mikocheni.Kuna siku namimi nitajifanya mkongo pale au mmasai kamanda nifungue kaofisi, halaf ole wake akatize Lizzy au Husninyo, hakyababu watajuta kugoma kujibu PM zangu.
Khaaaa! wewe umeona wapi bana mdada anakwenda kupaka rangi za kucha lakini akiludi kufuli limelowa anakwenda kufua. Mimi bana kama wataniita wa zamani poa tu lakini waifu hayo maeneo hakanyagi kabisa yaani. Hizo nyumba za ibada wenyewe haziaminiki siku hizi itakuwa saloon banaNilienda saloon ya kike nikaona mama mmoja akifanyiwa pedicure eti ina massage hadi kwenye pichu nikasema hapa wangu haji nitampeleka kwa kina dada Mikocheni.
Basi hujajua yote,wanakatwa kucha,kusuguliwa miguu.kukandwa mpaka mapajani yaani vurugu tupu na akitoka hapo anaenda kusuka kwa mmasai asiyevaa chupi na kichwa kuwekwa mapajani akiangalia mkia we acha tu urembo kazi mjini lol! Na hapo bado mpaka kucha rangi wa mtaani hahaha!
Khaaaa! wewe umeona wapi bana mdada anakwenda kupaka rangi za kucha lakini akiludi kufuli limelowa anakwenda kufua. Mimi bana kama wataniita wa zamani poa tu lakini waifu hayo maeneo hakanyagi kabisa yaani. Hizo nyumba za ibada wenyewe haziaminiki siku hizi itakuwa saloon bana
yaani alishike vizuri rungu kwa sababu ana kazi kubwa ya kukubikiri au.......................................