Wipes za kuepuka kwa watoto

Ila kwa joto la Dar na kunginepo, kuoga humsaidia mtoto kulala vizuri.
unakumbuka zamani kipindi cha nepi mtoto akikojoa inaanikwa tu haipigwi maji wala nini nadhani wengi humu walikuzwa hivo
 
[emoji23] [emoji23] Af weewe[emoji115]
hivi vitu vya viwanda vya wachina mkuu naviogopa sana.viwanda vipo mafichoni huko kiwalani sijui temeke vinazalisha toilet papers ,wipes ,pedi n.k sio kabisa .havina ubora bora uache tu.kama huwezi nunua vitu original bora urudie asiili ndo maana magonjwa mengi siku hizi? mbona zamani kulikuwa kauna UTI unadhani ni kwanini?
 
Shukrani kwa kutujuza tusiokua na elimu hii
 
Mkuu kuna madhara yoyote kumuogesha mtoto mchanga mara kwa mara?
hatakuwa vizuri mtoto mchanga unamuogesha mara mbili tu kwa week unamfuta futa tu fanya hivo uone atakavokuwa fasta
wenzetu wazungu hawaogeshi watoto ovyo ovyo .sisi mtoto utadhani samaki kila saa kwenye maji jamani
 
Miss hustle katika ubora wake [emoji4]
 
Miss hustle katika ubora wake [emoji4]
ahahaa mtoto anaamka asubuhi anapigwa maji,mchana anapigwa maji,akipupu anapigwa maji,jioni anapigwa maji hawajui hilo joto la mwili ndo linamfanya mtoto akue? sasa kila saa likitolewa atakuaje?
 
kumwogesha mtoto mdogo mara kwa mara ni kumfanya awe mtepetevu ndo mana lumonia na kukohoa plus mafua yanaua sana watoto wa mjini
 
hatakuwa vizuri mtoto mchanga unamuogesha mara mbili tu kwa week unamfuta futa tu fanya hivo uone atakavokuwa fasta
wenzetu wazungu hawaogeshi watoto ovyo ovyo .sisi mtoto utadhani samaki kila saa kwenye maji jamani
Teh eti kama samaki
 
kumwogesha mtoto mdogo mara kwa mara ni kumfanya awe mtepetevu ndo mana lumonia na kukohoa plus mafua yanaua sana watoto wa mjini
unakuta mktoto yupo arusha au mbeya hivi saa kumi na mbili au saa moja asubuhi keshalowekwa kwenye beseni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…